Recent content by Kanlex Websolution

  1. K

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Elezea basi kwanini watu wengi wanaamini uchawi Wakati haupo kwa mujibu wako)
  2. K

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Arrogant Atheist sio? Hivi serious unaamini sayansi inauwezo wa kuelezea kila tukio linatokea ulimwenguni? Kundi kubwa la watu kwenye huu uzi bro wanashuhudia walioyaona au waliosikia,Je wote wanaweza vipi wakawa wazushi? Ume suggest methodology yako ya kuthibitisha uchawi upo kea kutaka watu...
  3. K

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Tusibishane Sana Wakati Kuna obvious solution Hicho kitu tusichokifahamu ndio tumekipa Jin la 'Uchawi:
  4. K

    Faida na hasara za kusomea IT

    Suggestion Focus! ! Na Patience
  5. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Usihofu Chief....nipe Credentials za Cpanel yako tufanye kazi.....
  6. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Nicheki Kaka....0623391590 Au njoo pm
  7. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Kaka hio approach utatumia mda mrefu.....bila ya mtu kuziona codes ulizotumia Ni vigumu Sana kukusaidia.....ataishia kukwambia tu ubadilishe muonekano....
  8. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Badilisha front end Kaka,utumie framework zinatakazo fanya site iwe responsive plus Best design.....(Na recommend Bootstrap).. Kama ukihitaji niifanye io kazi...nicheck namba zangu zipo hapo juu
  9. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Site sio responsive Poor user interface
  10. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Chief nimeichek website yako....mna wazo zuri sema mmekosa technology sahihi haswa upande wa Front end ambao ni muhimu kwa furaha ya mtumiaji(User experience) Kama Mme design kwa kutumia codes zenu wenyewe nitumie pm credentials za cpanel yako nikurekebishie hio front end(iliopo Sasa haifai...
  11. K

    Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

    Nipe link ya site yako Mkuu...nikusaidie... Na Kama upo serious ni check:0623391590
Back
Top Bottom