Recent content by kankara

  1. kankara

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nina gari aina ya townace pickup mwenye uhitaji wa huduma za usafirishaji mjini dsm tuwasiliane nimpatie huduma ya usafiri
  2. kankara

    Ipi TOYO imara kati ya wanhoo, kinglion na kapor

    Injini za kupoza kwa maji kwa maana ya zenye rejeta kama iyo wanhoo au sio
  3. kankara

    Ipi TOYO imara kati ya wanhoo, kinglion na kapor

    Vip kuhusu uimara wa chombo yan injini, difu na zaga zingine za kiufundi ukiacha muonekano wa macho
  4. kankara

    Ipi TOYO imara kati ya wanhoo, kinglion na kapor

    Habari wana jamvi Naomba kujuzwa kuhusu izi pikipiki za kubebea mizigo zenye tairi tatu maarufu kama TOYO ni aina gani ni bora zaidi bei usizidi 5M
  5. kankara

    Jinsi gani ya kupata eneo la biashara (kizimba) kwenye stand ya Mbezi Luis au gulio la Goba?

    Kama stand mpya n majanga tena ngoja nijitose ata temeke stereo mana pale stand ya zaman eneo ni pasua kichwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kankara

    Jinsi gani ya kupata eneo la biashara (kizimba) kwenye stand ya Mbezi Luis au gulio la Goba?

    Yap nitapambana nijue kama kuna uongozi rasmi wa soko nianzie apo uku nikiendelea kuchukua tahadhari zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kankara

    Jinsi gani ya kupata eneo la biashara (kizimba) kwenye stand ya Mbezi Luis au gulio la Goba?

    Nashkuru nilianza na hii hatua nikakumbana na urasimu mwingi sana bila mafanikio zaidi ya ahadi hewa na dalili za utapeli ila nitarudia tena kwa kuface watu wapya maana hakuna ninaye fahamiana nae Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kankara

    Jinsi gani ya kupata eneo la biashara (kizimba) kwenye stand ya Mbezi Luis au gulio la Goba?

    Habari wana jamvi, kama mada ilivyo hapo juu mimi ni kijana ambaye kwa sasa sina ajira baada ya kuathiriwa na janga la corona. Nilikua sekta ya utalii pori la akiba selous na kwa sasa nipo Dar na familia yangu barabara ya Goba tokea Mbez Luis. Nimeona namna ya kuishi ni kufanya biashara ya...
  9. kankara

    Msaada: Matibabu ya Pelvic floor muscles baada ya kujifungua

    Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin tufanye maana hospital walisema yataisha yenyewe
  10. kankara

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Wakuu habari za majukumu, Nina kiwanja cha 20*20 apa Dar na nina milioni 5 tu naomba wajuzi wanipe ramani simple ya bed room 2, sitting room, choo cha public na kitchen ya kizushi kama itawezekana. Sihitaji master bed room wala dining.
  11. kankara

    Msaada: Maumivu ya nyonga kwa mwanaume chanzo na tiba

    nashkuru kwa ushaur wakuu na ninaufanyia kazi hasa ili la kufanya mazoezi na kustop pull
  12. kankara

    Msaada: Maumivu ya nyonga kwa mwanaume chanzo na tiba

    kwaiyo ili tatizo litaisha lenyewe tu baada ya kuchek u.t.i maana maumivu si mchezo
  13. kankara

    Msaada: Maumivu ya nyonga kwa mwanaume chanzo na tiba

    Apo kwenye kupima u.t.i itabid niwah punyeto nimestop
  14. kankara

    Msaada: Maumivu ya nyonga kwa mwanaume chanzo na tiba

    Mimi ni Kijana umri miaka 32 Kwa muda wa Wiki nzima mfululizo ninapata maumivu makali kwenye nyonga yanashuka mpaka kwenye paja natembea kwa shida sana. Naombeni msaada kwa wenye uelewa na haya mambo maana hii hali inanipa shida sana kutembea kuelekea kwenye mihangaiko na maumivu makali.
  15. kankara

    Mtangazaji wa Magic fm Salum Mkambala ukifanyacho siyo Ubinadamu wala Utu, jirekebishe

    Nadhan uyu mkambala apewe segment ya kusoma headings za za magazet then uchambuzi awaachie wenye IQ zao
Back
Top Bottom