kaka naomba nikusaidie kidogo binadamu wa kwanza aliish kulingana na life experience thow hakwenda shule aliish kama muwindaji maisha yakaendelea kubadilika akaachana na kuwinda akaanza kufuga akaacha kuhanagaika huku na kule akaanzisha familia aka setle saaa basi kutokana na changamoto za...
Acha fikra potofu. ofisi sio inayoongoza watu bali watu wanongozwa na watu. Mfano kidogo mimi ni mkristu Alipokuja kwetu Bwana wetu Yesu Kristuu sikuwahikusikia au Kusoma popote kuwa alikuwa na ofisi
Think big brow hizo siasa za kishamba nilitegemea uje hapa jamvin na uzi unao onyesha ni jinsi...
July pole sana kwa kuumiza akili alafu ukaishia kuandika ushuzi. nasikitika kuwa na kijana kama wewe asie jali kesho wala kuwahurumia watanzania wenzake ambao tumefika hapa tulipo leo kwasababu tu ya kukumabatia mafisadi eti kwasababu kuna kitu kidogo tunapata kwa ajili ya kushibisha matumbo...
Hata sijaisoma habari yenyewe kwa sabau haina Mashiko. badala ya kujadili mustakabali wa Taifa tunakaa kujadili mabo ya january makamba huu ni upumbavu
Unafikiri kwa vile baba ako alikuwa kiongozi na wewe waweza kuwa kiongozi. Umaskini wa fikra hata mtu mmja anaweza akawa na say over 40milion people,licha ya hao wabunge wenu uliosema 280vilaza. hatuwezi kuongozana kwa mazoea mazoea ni lazima tufike mahali tuongozwe kwa misingi ya sheria
Njaa ni mbaya sana na kwa kawaida huwa (physiologically) mwanaume huwa anatumia part moja ya brain to decide things of which he comes up with bright and wise consensus never mind nadhan mwampamba hukutumia part yako moja ya brain rather you used two parts like a woman na maana kwamba kule...
huwa sikuzote natafakary HAMY D nimtu yukoje ila napatajibu ninapo itazamapicha aliyotumia kama profile yake nivyo akili zake zilivyo your such a freak jerk :disapointed:
Nina mashaka na ufinyu wa fikra za huyu mleta hii mada. Sina uhakika sana kama aliwaza alichokiandika kwani heading na kilichopo ndani ya mada ni vitu viwili tofauti kabisa, naomba asinielewe vibaya kama alivyo kwisha athirika kisaikolojia, kwamba atakae kwenda kinyume na mtazamo wake, basi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.