Recent content by Kanizi

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kimenuka Mbeya

    Propaganda Za Uvccm Hizo Tumeisha Zizoea! Ata Wahamie Wote Ccm Sisi Msimamo We2 Ni Hulehule Wa Kumpeleka EL Ikuru.
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Alikuwa Mgombea Ubunge Ulanga Mashariki Kupitia C C M.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Hongera Mufti Abubakar Zuberi

    Wewe Ndo Unaye Leta Mambo Ya Udin Humu Sasa! Bora Utupishe Usitake Kutugawa Kwa Udin Wako Sisi Sote Ni Watanzania Wa Baba Mmoja. Utake Ustake Lazima Lowasa Awe Rais Wako Tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Lilikuwa Galika La Kuangalia Wasani Sio Kumsikiliza Makomeo. Lowasaaa Oyeeeee...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Poa Ngoja 2msubirie Tuone Leo Atakuja Na Lipi Jipya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Mbona Saa 3:00 Na Tumewekewa B B C? Yuko Wapi Dr Slaa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    Tafadhar Naomba Wenye Taarifa Kamili Kuhusu Rais We2 Kupitia Ukawa Anakuja Lini Songea Mjini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Jenesta na CCM nzima Jimbo la Peramiho ni aibu!

    Habar Wana Jf, Mimi kama mwana CCM sijapendezwa na kitendo alichokifanya Jenesta na wanaCCM cha kukodi watu kutoka vijini na hata mjini Songea kwa kupeleka magari kila kona ya maeneo hili waujaze uwanja wa mkutano eti kuwatisha watu kuwa nayeye anamafuriko kumbe ni wakukodiwa. Linaloniuma...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wapenzi Wa I T V Naomben Majibu Ya Swala Hili!

    Hivi Lile Igizo La Nguzo Ambalo Lilikuwa Lina Rushwa Na I T V Kila J.Pili Saa Moja Na Robo Sikuhz Ni Lini Na Ni Mda Gan? Msaada Kutoka Kwenu Jaman Nimelimis Sana Igizo Hilo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tayari kwa makundi haya

    Bila Kusahau Walimu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu Kipimo Cha Typhoid

    Jamani Wana Jf Naomba Mwenye Kujua Apa Saongea Ni Hospital Gani Au Maabara Gan Wana Kipimo Cha Typhod Make Peramiho Na Hospital Ya Mkoa Awana. Naomba Mnisaidie Nataka Kupima Typhod.
  12. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi Mwl. Wasekondar. Natafta M2 Wa Kubadilishana Nae Aje Singida Manispaa Mimi Niende Sengerema. Kama Uko Tiyal Nitafute Kwa Namba.0764520372.
  13. K

    JamiiForums Tanzania VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

    Ngapingapi Maka Sasa?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Azam vs yanga updates

    Kwahiyo Mkuu Yanga 2 Azam 1?
Back
Top Bottom