Recent content by kanisius

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo nimepewa 25000 (Elfu ishirini na Tano)

    Huyu jamaa kakushauri pouwa sana. Fanya hayo. Unaposikia mkopo alimia fulani ni just ada, mambo mengine unapata kama wenzio... Na chuoni ni kula na kulala ndio ishu saaana... Kwahiyo shukuru kwa hicho kaka.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Pole pope alikuwa wnasema atatembe nchi nzima kupinga mafisadi kama wakichaguliwa kupeperusha bendera ya uraisi. Kwahiyo, hata km Lowasa angekuwa amegombea udiwani au ubunge asinhekuwa na shaka naye. Yye anaamini Raisi ndio mhimili mkuu wa nchi. Ana mamlaka kubwa saaana na ana uwezo wa kufanya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    We ni mwongo. Lipumba hajakanusha jambo la kutaka kujihudhuru. Ila kasema kiwa tetesi hizo ndizo zilikuwa na alitaka kuzungumza na vijana wake, na akavamiwa na wazee wa chama na wakawa na mazungumzo. Ila kasema kuwa amewasikiliza wazee na atayatafakari hayo aliyoelezwa na wazee. Na atayatolea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nitampa kura yangu Lowassa Oktoba 25

    Hayo maneno ya kusema" mwenye ushahidi anipeleke mahakamani" alishawahi sema tangia zamani. Ila bado wapinzani wa ccm waliendelea kuwaaminisha hilo kuwa lowasa ni fisadi. Sema kuwa kwa kuwa kiongozi wako aliyekuwa anakuaminisha kuwa EL ni fisadi, leo hii huyihuyo kamsafisha na kukuambia kuwa yye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TV gani itaonyesha live mechi ya Yanga na Waarabu leo?

    Fuatilia TBC 1 kaka jana walisema wanaweza kuonesha mechi hiyo....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zitto amjibu Ngeleja, Asema yuko tayari kuchunguzwa na kuhojiwa na Tume ya Maadili

    Fanya kazi kaka mkubwa, hao hawaishi na maneno yao ya kuharibiana. Siasa maji taka siku hizi hazina nafasi kwa watanzania waelewa. Mungu yu nyuma yako na utalipwa kwa kazi uifanyayo, wanyonge tunaiona.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Jamani, mwenye ukweli.anikeni wazi. Maana anawwza akaonekana mbaya kumbe sio, pia anaweza josafisha huyu jamaa kumbe ni.kweli kapewa kmpuni na baba ake.
  8. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Baba yeriko una uwakika na taarifa hizi? na km ni kweli mbona kimya kimezidi kule.mjengoni!!!!!?????
  9. K

    JamiiForums Tanzania Salamu Warioba: Chonde chonde baba!

    We mshikaji akili kidogo zimekutuma vibaya na has a huo ushabiki na uccm wako. MzEE wa watu umesikia hataki amani? Hajafanya hats moja lisiloelekea katika a man I.. Ika watu kama wewe ndio mnaowapotosha watu kuwa asiyeridhika na katiba kandamizi ( lazimshwa ) bbasi huyo hataki amani. Kijana wewe...
Back
Top Bottom