Nihzrath
Member
- Jan 15, 2013
- 51
- 116
Kwa miaka michache iliyopita. Nimekuwa nikiaminishwa ya kuwa ile Kashfa ya RICHMOND muhusika mkuu ni EL. Nami bila kutambua, bila kufikiri, nikaanza kujenga chuki dhidi ya EL. Chuki dhidi ya mtu hasiye na hatia. Ni baada ya siku chache zilizopita ndipo nilipotambua ukweli. Nilikuwa namchukia mtu hasiye na hatia. Mtu ambaye alikubali kujitoa mhanga ili serikali ya Tanzania isianguke. Hakika Lowasa ni mzalendo wa nchi hii.
Lowasa; " Mikono yangu ni misafi. Sikuhusika kivyovyote na Richmond. Nilitaka kuvunja mkataba ule baada ya kamati yangu kugundua udhaifu wa kampuni ile. Hata hivyo Katibu mkuu kiongozi (Philimon Luhanjo) aliniambia Mamlaka ya juu imezuia kuvunja kwa mkataba ule"
" Yoyote mwenye ushahidi wa kuhusika kwangu na Richmond, anipeleke mahakamani"
Hakika kauli hii ya EL ni ya kishujaa. Ni kauli ya mtu anayejiamini na msafi pekee. Kwanini nisimpe kura yangu? Bado ningali na shauku ya kumfahamu mtu aliyeilinda Richmond. Nataka kuwafahamu watu wenye majina ya pesa ya Escrow waliopokea pesa kupitia miamala ya Stanbic bank. Ambao wamefichwa ili kwa mara nyingine serikali isianguke.
Nimekuwa na maswali kwa nini wenyeviti wa tume teule ya Bunge wakati wa kuwasilisha ripoti zao za kashfa kuanzia ile ya Richmond na kisha hii ya Escrow. Kauli hii ya kuwa ili kuzuia serikali isianguke, tume/kamati inapendekeza waziri mkuu ajipime/ awajibishwe. Bado najiuliza ni nani ambaye akiguswa serikali itaanguka?
Oct 25 nitampa kura yangu Lowasa. Kisha nitamuomba anipeleke kisutu wale wote waliohusika na Richmond kisha Escrow. Kwanini viongozi wengi wanamchukia Lowasa. Huku wananchi wengi wakimpenda?
Hakika watanzania wanamuhitaji sana Lowasa kuliko anavyotuhitaji. Ni ngumu kuelewa hili. Unahitajika kuwa na akili za uendawazimu za kutokumwelewa Lowasa.