Kwenye suala la ufisadi na rushwa litazidi kuwa baya endapo Mkurugenzi wa Takukuru ataendelea kuchaguliwa na Rais.
Tuliopo background tunajua na tunaona jinsi watu na watendaji wa karibu na raisi wanavyoitafuna hii nchi.
Siku CCM wakiruhusu kuwe na uchaguzi huru na wa haki ndio itakuwa mwanzo wa anguko lake. Ushindi wa CCM 90% ni wizi wa kura na msaada wa vyombo vya dola.
Ijumaa kuu wanavyosemaga inafuata Ibada ya kuabudu msalaba huwa inamaanisha nini?!. Maana ndio ule muda tunaenda kubusu msalaba wenye sanamu anayesemekana ni yesu
Pole sana. Mimi mwenyewe nna changamoto na Kanisa katoliki ambayo ni Asili ya wazazi wangu ila sio kwa sadaka. Mimi Yale masanamu na mapicha ya Yesu na Maria huwa yananikwaza sana.
Kwa ushauri wangu Bora ubaki katoliki ila uwe na itikadi zako za kutokufuata baadhi ya mambo yao. Maana hakuna...
Huyo allah wenu aliyewafundisha chuki na fujo kwa watu wengine.
Hivi alishindwa nini kuwauwa watu wasio waislam hadi awaambie nyie muwaue!!.? Maana kila uchao wanazaliwa wasio waislam.
Yaani katika Iman za hovyo zilizopo duniani Islam is no.1.
Dini gani hii inayohamasisha mauaji Kwa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.