Recent content by kangaroho

  1. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mbarouk, Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora

    hata mmi ningekuwa mjumbe ningempa kura yangu,kumpa mbowe uenyekiti ni uvivu wa kufikiri
  2. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Je, Mh. Mbowe umewahi kupita hapa Jamiiforums?

    hahahha hana tofauti na viongozi wa kiafrika kungangania madaraka kwa muda mrefu vip km angekuwa raisi wa nchi(mbowe) kwa hiki pnd cha katiba mpya nazani angendekeza raisi awe na vipnd vya kuongoza miaka kumi na tano
  3. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

    cdm kushbey
  4. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa redio Free Afrika yupo wapi kwa sasa?

    enzi zile za haahhaa hakuna matata na naaaa naaaa double G
  5. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    mbona hata mie namkubali kinoma
  6. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Tanga mjini wabwaga manyanga, walalamikia ubaguzi na kujiunga ACT

    ahhhahaa act inawashika kinoma aiseee
  7. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha mkasi EATV, Jumatatu - Agosti 25, 2014

    pamoja sana tunasubili
  8. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

    Duanzi,pamoja sana watakuwa nasi hvi punde hao wote wanaomponda zitto
  9. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

    eti kwao hawamtaki nenda kigoma uone hali halisi wwe,acha kutazama filamu za kimboye
  10. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    sugu na heche
  11. kangaroho

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kudhoofika,viongozi Urambo wajivua magwanda

    cdm haitapata hata balozi kanda ya magharibi
  12. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    jamaa ana element za kinyerere mimi nashauri tumbatize jina la MWALIMU NYERERE
  13. kangaroho

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    Nilikuwa namsikiliza huyu kijana mwenzangu Humphrey Polepole aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba, kiukweli huyu kijana kailezea vema sana maoni ya wananchi ya katiba hasa serikali tatu. Pia namuona ana mvuto wa kisiasa sijui kwanini bado yupo shimoni kisiasa.
  14. kangaroho

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kwanini Yona hajafukuzwa CHADEMA?

    ana siri nzito za cdm
Back
Top Bottom