Recent content by kanene

  1. kanene

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Asante sana mkuu.. yaani kila kitu ulichoongea nakiona kinafanana na maisha tulonayo..sijui nifanyeje maana tumeishi miaka mitano na tayari tuna watoto wawili wazuri kwelikweli. Hatujafunga ndoa kila tukipanga linatokea jambo la kuahirisha. Sijui nifanyeje
  2. kanene

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Mramba hatakaa jela muda mrefu,mtaona anapata msamaha mwezi 12 au wa 4 mwakani! Kesi ya biliones of hela mtu anafungwa miaka 3 na kifaini cha milioni5.. Hii ndo Tz jamani. Nchi nyingine nadhani wangeozea jela
  3. kanene

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

    bado kipo mkuu?
  4. kanene

    Pick up Nissan inauzwa Arusha

    Ok mkuu...niambie ina engine gani na pia ni double cabin au ni single?
  5. kanene

    Pick up Nissan inauzwa Arusha

    Picha mdau..tuanzemaongezi
  6. kanene

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Zinafaa ila mimi sjawahi kufanyia biashara..naanza na 15. Maongezi yapo. kama upo serious ni pm.
  7. kanene

    Carina TI inauzwa

    Tuwekee picha sugar m
  8. kanene

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Ninayo van, engine 3L naitumia mwenyewe, namba ni A imetembea km 142,670, Rangi iliyokuja nayo, sijaweka siti. Ni manual transmition..Kama vipi tufanye biashara
  9. kanene

    Msaada

    Jamani wanajamvi natafuta mtu ambae ameshawahi kufanya biashara ya export&inport kati ya tanzania na sweden. Kuna jambo nahitaji kusaidiwa.
  10. kanene

    Msaada:mkataba wa ajira ndogondogo

    Habari zenu wandugu..mimi nimefungua kashughuli ka duka la reja reja. kwa kua nimekua ni mtu wa kutoka mara kwa mara nataka niajiri mtu kwa mkataba mdogo ili walau niweke mazingira ya ulinzi wa haka kaduka. Mwenye kuelewa naomba anisaidie japo hata kwa mfano mdogo.
Back
Top Bottom