kanene
Member
- Jan 25, 2012
- 55
- 6
Kuna gharama nimeziingia hivi karibuni, 3M itakula kwangu, napokea Cash 4M mkuu
bado kipo mkuu?
Kuna gharama nimeziingia hivi karibuni, 3M itakula kwangu, napokea Cash 4M mkuu
Mkuu kiwanja kipo sehemu gani exactly, ni ile njia ya mkato toka kisasa kutokea relini kutokea pale juu kidogo ya makulu kama unaenda udom ama??Kiwanja bado kipo na sasa bei ya kuuzia ni 4M