Natafuta gari nzuri ya kutembelea kadogo isizidi cc1000

Natafuta gari nzuri ya kutembelea kadogo isizidi cc1000

kadeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
1,441
iwe ktk hali nzuri na iwe kuanzia A had D, bei isizidi 3mil, ukiipata naomba uni PM
 
iwe ktk hali nzuri na iwe kuanzia A had D, bei isizidi 3mil, ukiipata naomba uni PM

Umepata mkuu kadeti hebu chagua moja wapo kati ya hizi .tena itakuwa chini ya hiyo bei.
 

Attachments

  • kwetu pazuri.jpg
    kwetu pazuri.jpg
    42.1 KB · Views: 547
  • 10450852_504761992991524_3103038358784518921_n.jpg
    10450852_504761992991524_3103038358784518921_n.jpg
    32 KB · Views: 710
Last edited by a moderator:
Watu mnavurugu kwenye thread za wenye njozi na vibabywalker!?
 
Cc Frank
Hembu mpe maujanja jamaa ya gari za 2m.
Maana wewe 2m ulipata,mwenzio ana 3m,muuzie kati ya zile zako za kuungaunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom