Wakuu habari zenu....,!
Simu yangu wakati nikimpigia mtu, mwanga hutoweka.
Nilianza kuhisi labda shida ni protector lakini nilitoa na tatizo lipo palepale .
Hii inaleta changamoto maana nashindwa kuweka loudspeaker.
Kama kuna mtu ana idea ya nini nifanye naomba anisaidie.
Lilikuwa ni genge ila lilitumika kisiasa zaidi, yaan serikali ilitoa sapoti japo hadharani ilijifanya kulikemea.
Walikuwa wanapambana na
1; ukomunist
2;watu weusi
3; ukatoliki ( hasa watu kutoka Ireland)
Mkama alikuwa anamiliki ardhi,watu na mifugo sababu kipindi hicho maeneo hayo kulikuwa na UKABAILA (feudalism) kama mfumo wa maisha.
Ila utumwa umeletwa na waarabu baada kufungua mawasiliano kati ya pwani na huku bara.
Kulikuwa na Slave Routes kutoka pwani hadi huku bara na kuelekea kongo...
Aisee!! Kuna mambo nimekuwa nikiyasikia naona humu yamefafanuliwa zaidi. Na kuna makabila nilikuwa naona yanamuingiliano ila naanza kupata picha.
Niliwahi kuishi sengerema sasahivi ni halmashauri ya buchosa, kuna sehemu inaitwa uzinza.
Hawa wazinza lugha yao inafanana na kihaya,
Pia maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.