Recent content by kandukamo1

  1. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwamba temana na watoto hawa. 29/06/2020 si mbali sana, shule zitafungua watatuachia jukwaa. Sijui anataka yeye ndio awe mum wa Dar? Mtoto wa kiume ana muonea wivu mwanamke kupigwa machine.
  2. kandukamo1

    Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

    Wewe msukuma naona umeleta usukuma wako. Kubwa zima hovyooo...
  3. kandukamo1

    Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Nakuombea ushindi classmate wangu pale kwa Dr.Longino (2012). NB: kama una bahasha nijuze nikuunganishe na wapiga KURA uwape kula. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kandukamo1

    Nimefika Sumbawanga, nakutaadharisha wewe dada ulieniibia CRDB Chanika

    Chifyono fyonoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kandukamo1

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Umenikumbusha mafyulisi. Nipo usukumani huku daily huwa natafuta msamiati wake wa kiswahili naukosa kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kandukamo1

    Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...

    Uchapakazi bila maono nao ni wa kupigiwa upatu? Leteni uchapakazi na kwenye corona sio kuweka mpira kwapani. Ugomvi uko nje mbwa ana bweka ndani hataki kutoka. Hovyooo..... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kandukamo1

    Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

    Endeleeni kumuendekeza huyo msukuma mwenzenu. Yeye hata akikosea hamuwezi mpinga kisa ni "ndoho tabhu" mwenzenu. Hopeless head of state from a hopeless tribe......Tuvumiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kandukamo1

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Hovyo kabisa kupata kiongozi kutoka kabila lako. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utu uzima rasta mixer shemejio aliuchoka mmea. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kitambo sana huo mmea nimepumzika. Though majuzi kt kuna walumendago walikua wanapigia kazi ya kutumia misuli mingi ikabidi ni bless up. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu wimbo naukubali sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzaa baba Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji38][emoji38][emoji38] umenikumbusha mbali sana suala la kuulizwa kabila. Niliopoa barmaid moja nikazama nayo ngwair piga sana pipe mpk ikajuta kiwango alicho taja kuwa ni kidogo. Wkt naisindikiza ndio ikauliza kabila langu nikamtajie kabila lake kuwa ndio langu. Alikataa kuwa mie sio...
  14. kandukamo1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jobha amepatikana nduguyo kakusaidia kutafsiri ID yangu kama nilivyo tafsiri yako from Nyakyusa. Btw my ID is my grandpa's name ('imbalo) mr/ms @Tychob: Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kandukamo1

    Ushauri unahitajika; Nina mimba, nimegundua baba kija anani-cheat na bestfriend yangu

    [emoji38][emoji38][emoji38] Utakua una gubu sana wewe mwanamke. Ila nae kajikuta Bi.Sadaka wa clouds. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom