Recent content by kandere

  1. kandere

    Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

    Najiuliza tu hapo, why askofu alikuwepo, mbona mashehe hawapo?
  2. kandere

    Ushauri: Aliniambia analeta mahari nyumbani lakini kabadilika

    Pole sana! Mtafute mmiliki Wa ndoa akupe ndoa, hili ni tatizo sana kizazi cha sasa, mmiliki Wa ndoa ni Mungu, mtafuteni Kwa huyo Mungu na hayo yote mtazidishiwa
  3. kandere

    Mchungaji awataka waumini wavue nguo kisha wajichue ili wapokee baraka

    Nina mashaka na hii post, haijakamilika
  4. kandere

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    nitofauti na kwenda kwenye kile kibanda cha bikira maria na kukisujudia. Acheni kusudia sanamu mungu kakataza Hivi hujui ugomvi Luther na Catholic? Ni baada ya kanisa Catholic kuuza hati ya msamaha
  5. kandere

    Hongera Mbowe, Ongeza nguvu kwenye mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita na Shinyanga

    Cjui why upinzani hawatilii mkazo swala la katiba mpya
  6. kandere

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Nyie endeleeni kubushana! Ninachojua Yesu ni mwokozi, Yesu ni bwana nae ndie anaesamehe dhambi. Bikira mariamu alimzaa Yesu tu na siamini eti bikira maria atuombee dhambi, hio hapana
  7. kandere

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Ni upi! Tulikua hatuna tumaini, lakini sasa tuna tumaini la uzima wa milele! MWanzo mwanadamu alipata msamaha Wa dhambi Kwa kutoa dhabihu za wanyama. Lakini Mungu amemtoa Yesu ili kupitia yeye tupate msamaha Wa dhambi
  8. kandere

    Tetesi: Kwa HESHIMA ya mama yake Trump ataapa kwa kutumia Biblia MBILI

    Kafanya nini trump hata awe mpumbavu?
  9. kandere

    Mume amekuwa pombe yeye, wanawake yeye, nifanyeje?

    Huu si ushauli, kumbuka hii ni family tayari, tujenge na tusizidi kubomoa
  10. kandere

    Mume amekuwa pombe yeye, wanawake yeye, nifanyeje?

    Endelea kuvumilia, hukusema imani yako ya kidini. Labda nikupe ushauli tu Wa bure! Tafuta viongoz wa kiroho wafanye maombi ndoa yako ilejee upya. Hakika Mungu anabadilisha maisha ya mtu na kua mtu sahihi Kwa jamii. Mlilie Mungu yeye ni mwaminifu ataponya ndoa yako ni hayo
  11. kandere

    Tetesi: Kwa HESHIMA ya mama yake Trump ataapa kwa kutumia Biblia MBILI

    Eeeh baba trump njoo huku African kuna mgbE, m7 hawataki hta kuondoka. Njoo trump
  12. kandere

    Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

    Watu wanaleta mzaha mbele ya njaa, naijua njaa. Hasa wilaya hio ya Handeni najua vilivyo
Back
Top Bottom