Wana Jamvi kuna jambo limeishangaza kuhusu Trump.Huyu jamaa hakosi VITUKO.
Inasemekana AMEOMBA kutumia biblia MBILI wakati AKILA KIAPO cha URAIS kama rais wa 45 wa Amerika.
Bibila ya kwanza ni ile iliyotumika kumwapisha Rais Abrahamu Lincolin mwaka 1861.
Na Biblia ya PILI ni ile aliyopewa na MAMA yake mwaka 1955 alipofuzu masomo ya KANISANI utotoni yaani Sunday school.
Alisema hii ni kwa ajili ya KUMHESHIMU mama yake.
Wana jamvi je kuna lolote twaweza kujifunza kutokana na kitendo hiki?