Vyovyote itakavyokuwa au mtakavyochukulia, Mh Mwigulu Nchemba katusaidia mno kuokoa kura nyingi sana eneo hili la Makanisa.
Nafikiri tunajua nguvu za Viongozi wa dini wakiwaambia waumini leo Herufi A imebadilika na itasomwa kama B huwa hawahoji wao huingia kwenye utekelezaji tu.
Nendeni maeneo...
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Marehemu Samuel Sitta alipata kunena na kulitia moyo kanisa kuendelea kukemea maovu hata kama yanatendwa na serikali...
Habari wadau,
Taarifa nilizozipata kutoka kanisa la FGBF Mwenge kwa Askofu Zachary Kakobe ni kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefika kanisa hapo saa 7 mchana ili kuonana na Askofu Kakobe lakini hajafanikiwa kwasababu ibada ilikuwa inaendelea.
Kwa mujibu wa Mhudumu wa mapokezi kanisani...
Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba amepata ajali ya gari katika eneo la Mgombe, Kigoma ambapo mtu mmoja amefariki dunia.
Taarifa hizo zimethibitishwa na Kamanda Wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Otieno
Dunia imempoteza Faru dume wa mwisho mweupe, amekufa huko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 45.
Amewaacha faru wawili weupe wakike pekee. Faru huyo aliyepewa jina la 'Sudan' alikuwa akitibiwa kwa muda mrefu kwa tatizo la misuli na mifupa.
Utafiti uliofanywa mwaka 2016 unakadiria kuwa...
Mtoto wa mdogo wa miezi 10 kutoka China ambaye alizaliwa na miguu mitatu umefanyiwa upasuaji wa masaa kumi na kuondolewa mguu mmoja. Madaktari nchini China wamefanikiwa kuutoa mguu huo watatu na sasa amebakiwa na miguu miwili kama binadamu wengine.
Madaktari waliomfanyia upasuaji wamesema...
Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya.
Wakazi wa kata za Kalamba na Haubi wilayani Kondoa mkoani Dodoma wanalazimika kutembea umbali wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko katika wilaya za Bunda, Serengeti na Butiama vinavyogambania mipaka ya wilaya zao, kupiga yowe pale inapotokea kuwapo na jambo la hatari.
Marufuku hiyo...
Habari wadau wa JF,
Leo tena Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanakutana kwenye ukumbi Council Chamber hapa UDSM kwa ajili ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti juu ya Mstakabali wa elimu Afrika ('Facing Forward: Schooling with Learning in Africa').
Mgeni Rasmi...
Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini la Dunedin mwaka 1981.
Jaribio hilo la kumuua Malikia linalodaiwa kutekelezwa na kijana wa kiume limechochea hamasa ya polisi...
Benki ya Equity imezindua huduma ya 'Eazzy Banking' itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya fedha popote walipo na wakati wowote.
Akizindua huduma hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Joseph Iha amesema 'Eazzy Banking' inakusudia kusogeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.