Recent content by Kandami

  1. K

    Matokeo 'hasi' ya kumtimua Zitto ni haya; Mbowe & Slaa mnaua chama

    piga chini wasaliti tufungue ukurasa mpya! wapeni vyeo nyie maccm
  2. K

    Kinana asafiri masaa 26 kwa mv songea

    hakuna shehena ya pembe za ndovu polisi wakague hiyo meli mara moja!
  3. K

    CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

    bila busara haisaidi kitu avue gamba kwanza afanye kaz kwa utaalam
  4. K

    Kali za Bungeni Leo

    ni babu mshamba toka mara anayejifunza mipasho ya uswahilini! ni aibu kuwaacha watu wa aina ya werema ktk nafasi nyeti na kuwalipa kwa kodi zetu,ni dharau ya serikali kwa wananchi,au ni mbunge wa viti maalum baraza wazee ccm? atafute jimbo huko kwa wahasira ameezeka atamwachia 2015
  5. K

    Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    ni upuuzi tu kuamini chama fulani ni sawa na baba au mama au Mungu kama alivyowahi kusema Magufuli kwamba ccm ni chama Mungu ni uwehu ni uzuzu uliopitiliza! vyama hivi ni taasisi zilizoundwa na watu kama malengo mahususi! ukiona mtu anavibudu kupita kiasi ujue ni kwa sababu ya pesa
  6. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    lema unapotea njia km mlimshambuli Mwigamba kwa kupost maoni yake jamii forum ss ww unafanyeje? hakuna vikao vya chama? chama hiki hakina msemaji? msichafuane hadharani mnajishushia heshima mbele ya wananchi!
  7. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    lema unapotea njia km mlimshambuli Mwigamba kwa kupost maoni yake jamii forum ss ww unafanyeje? hakuna vikao vya chama? chama hiki hakina msemaji? msichafuane hadharani mnajishushia heshima mbele ya wananchi!
  8. K

    Vipande 706 vya Pembe za Ndovu vyakamatwa Jijini Dar nyumbani kwa Wachina

    mwacheni mzee wa al shabab atafute fedha za kuhonga wapiga kura 2015, meli yake ilikamatwa na shehena ya pembe za pembe za ndovu badala ya kuhojiwa wanakuja na operesheni ya kibwege kuuwa watu wasio na hatia na mifugo yao! Kinana anataka yeye na makada wa CCM wafanye hiyo biashara haramu ndiyo...
  9. K

    Ruzuku itatuathiri kichama - CHADEMA

    Kama kweli kuna ufujaji basi anayetoa hizo fedha bila udhibiti wa matumizi yake yu -------- zaidi
  10. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    acha ujinga nchi inaongozwa na katiba na sheria kanuni hata akiwekwa nani lazima azingatie hayo! hatufanyi mambo kidini kesho mtataka mahakama, benki nk zifuate sharia hayo ni huko huko misikitini na wakristu na mambo yao huko huko makanisani!
  11. K

    Who "Played" Nyerere?

    Viongozi wa cku hizi hawataki kumwita baba wa taifa wanamwita mzee Nyerere,nadhani angekuwa hai japo hadi 2005 tusingekuwa na ombwe kubwa la uongozi kama hili la sasa
  12. K

    Nilichokiona jana Mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Mwenge-- CCM iko mahututi, imekufa!!

    hawa vijana wa ccm ni janga la kitaifa(sadifa nape lusinde) matusi ya nguoni ya nini kuna watu wa rika zote kwenye hadhara hizi? laaaana!
  13. K

    Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

    great leader of the time with vision and independent mind,just like Nyerere Nkrumah Mandela etc,maccm hawatakubali propaganda lazima zishike kasi,wao wakienda wanaishia kupiga picha na wacheza filamu wa hollywood au 50 cent
  14. K

    Baada ya ripoti ya TANAPA kutaja majina ya wabunge 4 CCM kujangili meno ya tembo, Namshauri JK...

    babu wa mogadishu akimaliza tembo wetu atasepa zake kwa al shaabab wenzake!
  15. K

    Baada ya ripoti ya TANAPA kutaja majina ya wabunge 4 CCM kujangili meno ya tembo, Namshauri JK...

    hakuna TISS kilichopo ni usalama wa maccm huoni wanavyofisidi nchi bila wac wac! serikali inaomba wezi warudishe baadhi ya vitu na pesa walizoiba!kituko cha karne!
Back
Top Bottom