Recent content by KANCHI85

  1. K

    JamiiForums Tanzania Miti mikubwa pines inauzwa

    Mkuu umesahau picha ni muhimu sanaaa!
  2. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Hapo sasa! Maana hapo iliyovunja hivyo vibanda nadhani ni serikali pia kama mlivamia eneo hilo hayo ndio matokeo yake so tafuteni eneo lingine kihalali.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kununua mbwa wa kizungu Sh. Milioni 3 kwa sababu hawana utofauti na mbwa koko

    German shepherd wako vizuri kama unawafahamu mzeiya kwa bei hiyo unaweza kununua tu kama una pesa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

    Gamond bana alikuta timu ipo vizuri sana. Kwa hiyo kaicha timu ikiwa imeshuka kiwango kidogo so ajaye baada ya yeye aje kufanya marekebesho kidogo kwenye timu iwe Bora zaidi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Barbershop uwe makini sana na eneo au location yako maana huwa inasumbua kupata wateja wa kutosha.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Haya sasa dk 90 matokeo yameonekana au sio...!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Wamarekani wataamua wao nadhani tuwaachie tu. Sisi ni watazamaji tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii kero ni kwa shule hii Tu au huko kwengine yapo haya?

    Kama wazazi wameridhia hiyo Elfu themanini hakuna shida kama ingekuwa tatizo basi wazazi wangekataa kutoa ndugu yangu. Kikubwa ni maridhiano baina ya wazazi na walimu
  9. K

    JamiiForums Tanzania There is no life after death, ni uongo

    Kuamini kama kuna maisha baada ya kufa ni kuwa na IMANI kutokana na dini yako uliyonayo maana haya yameandikwa kwenye vitabu ya Imani kwa upande wa biblia kuna simulizi zinaeleza kwamba kuna maisha baada ya kifo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 7 wa Wizara ya Ardhi

    Mbona makosa yao hujayaorodhesha sasa ?Weka taarifa kamili bana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Au sio.! Haya bana kikubwa Mungu atupe uhai.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Mama apewe mitano tena!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Ila kweli Jide aka Komando yupo juu kuliko Zuchu kiuandishi (Mashairi).
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Sasa mtafute huyo mwizi wako yeye ndio atalipa Hilo deni laah sivyo sidhani kama Voda watakuelewa maana wao wamekukopesha wewe ndio mwenye lain so kwa kifupi hapo UMEIBIWA tu ndugu so mtafute mwizi wako.
Back
Top Bottom