Umenigusa sana, hasa umenipa hisia kubwa juu ya uchungu uliokuwa nao wakati unayaandika haya. Ni kweli kwamba matukio yanayofanywa na watu ambao tungetegemea wawe waadilifu yanatutia uchungu sana, watu ambao tungetegemea wawe nuru kwetu vijana ndo wanakuwa mafisidi. Tujifunze mema toka wapi, ndo...
Wakuu huyu EL tunayesikia yuko katika mbio za Ikulu, mbona amekosa tukio kubwa la chama chake? Bado hajarudi toka Ujurumani? Je agombei nafasi yoyote kwenye NEC TAIFA. Am real less informed on ccm issues.
Nina wasi wasi kama unaweza kusoma makala au taarifa ndefu kwakuwa umesema hujasoma story yote sijui ni kwasababu ni ndefu au? Ukinihakikishia hilo, naweza kukutumia hukumu ya kesi ya Kombe ambayo familia yake ililipwa milioni 300 za kitanzania kama fidia ya serikali kusababisha kifo chake. Ni...
Bila kusahau maji machafu yanayotiririka kutoka vyooni hasa mfereji wa kutoka Kaloleni kupitia Mnara wa Mwenge na Hospitali ya Kaloleni, mtaro unaoanzia jengo jipya la NSSF( kama sikosei) linalojengwa maeneo ya round about ya Florida na kushuka Golden Rose na Mbele ya Blue Rock, mashimo ya maji...
who will speak if u wont? who will speak 4 the voiceless 4 their voice to be heard? Halima has exercised her freedom of speech. She should be taken as a brave among thousands who knew the scandal but haven't spoken anything. I meritoriously concur with her.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.