Recent content by kamuhabwa2002

  1. K

    JamiiForums Tanzania Afukuzwa kazi kwa kunuka mdomo

    Mbona hilo ni tatizo dogo tu ? Kama kuna mwingine mwenye tatizo hilo Awe anakata kipande cha Tango anaweka mdomoni wakati wa kulala kinakaa hadi asubuhi baada ya siku 7 tatizo litaisha na ajitahidi kila akipiga mswaki asugue ulimi
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Samahani sio Mkangala ni Celina Kombani
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na binadamu wa ajabu alfajiri hii

    Hiyo rangi nyekundu umeigunduaje kwenye giza ? Au ulikuwa na tochi ? Bora ungesema rangi nyeusi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wa-vietnam kuwekeza Trillioni tatu kipindi cha uchaguzi!

    ni za hao hao Wavietinam wana kampuni ya simu inaitwa halotel wataizindua mwezi wa october ,rangi ya logo yao ni karoti
  6. K

    JamiiForums Tanzania Picha:juzi Vincent Nyerere aiteketeza CCM kata ya Rwamlimi

    na wala si fiesta kama ya mafunguo aliyofanya bk leo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Pia ameishasema yeye sio mwanasiasa ni mtendaji
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mmhh tumekwisha sasa!

    kuwa na watoto wachache au wengi ni tofauti na kuwa na watu wachache watazalisha kidogo na kulipa kodi kidogo kuliko ukiwa na watu wengi wanazalisha saana na serikali inakusanya kodi kwa wingi na maendeleo yanapatikana kwa mfano angalia China ni ya kwanza kuwa na watu wengi duniani lakini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Lowassa na Kikwete na hatma ya CCM

    Kikwete anampigia lowasa kampein,au Lowasa na Kikwete bado wana uhusiano,au ni ipi kauli ya Kikwete kuhusu Lowasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Hesabu za kura kwa Magufuli zinakataa kabisa.

    Magufuri atashindaje wakati ameishakiri kuwa yeye sio mwanasiasa ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkikimkiki: Mdahalo wa elimu na afya kwa vyama vya siasa

    Pia kuna wakati amesema watanzania wanazaliana sana je hii kauli ni sahihi ?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

    Kanisani kwanza ,star tv baadae maana hao wote walihudhuria leo wanasali ijumaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anategemea kusafari kwenda New York

    Na ndio maana hata Magufuri alimsifu na kuwaambia watu wa Morogoro kuwa Mafisadi na majizi ndio wametufikisha hapa tulipo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Fanyeni mazungumzo na Benki ya NBC nao wajiorodheshe kwenye mpango wa MOBILE BENKING ili mteja wa mpesa aweze kubenk au kutoa pesa kwa kutumia simu yake
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

    Tupe mfano wa mkutano wa Lowasa uliohairishwa
Back
Top Bottom