Picha:juzi Vincent Nyerere aiteketeza CCM kata ya Rwamlimi

Hawa jamaa mwaka huu sijui kama watabaki salama na mgombea wao binafsi!
 
Habari mbayaa kwa buku 7 nw kitengo cha it masakii
 
Ama kweli Nimeamini chama changu cha ccm bado tuna kazi ngumu mwaka huu,tutajinasua kwa kupitia mlango upi?
 
mlango wa kutokea ikulu na kuwaachia ukawa waingie kuboresha hali zetu watanzania
 
Si wengi sana!! Ila ni real cream!! Hakuna waliokuja kutazama show ya bongo flava,hakuna vibonzo vya akina joti hapo,hakuna chege wala mr blue,kuna dhamira safi,kuna maono,kuna matumaini ya kuiona nchi mpya kwa kupitia jukwaa hilo lenye mtu mmoja tu,bila guiter wala ngoma,asanteni watu wa Mungu
 
na wala si fiesta kama ya mafunguo aliyofanya bk leo
 
Namkubali sana Vicent Kiboko Nyerer,
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
Back
Top Bottom