Recent content by Kamugumya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Ndani ya CCM yajayo yanafikirisha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jibu la Paul Makonda kwa mwandishi dhidi ya shambulio la Tundu Lissu lina maana gani?

    No,hatutakiwi kuishia hapo kesho yaweza kuwa zamu ya mwingine.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

    Walimu kupigwa si kasaida yenu? Watawala kuwachalaza mboko wanavyotaka,mtajitambua lini? Acha makasiriko jitambue.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hili mwenyewe kama silielewi fulani hivi.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Inawezekana
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

    Hili kwa walimu linawezekana kabisa maana wale walishapoteza uwezo wao wa kiakili na kuwa mazombi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

    Wasioelewa nguvu ya TEC wajiulize kwanini Serikali ilihaha kuzuia vyombo vya habari kutoa habari juu ya waraka huu. Roma ikisema imeusha hiyo.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa na wanawake tofauti ni kutafuta Matatizo

    Huyo ana changamoto kubwa zaidi kuliko mwanaume.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

    Utaendelea kusomwa Dominica sita mfululizo katika ngazi ya vigango parokia,jumuiya na hata Vatican umeshapelekwa nako unaendelea kusomwa. Radio Maria inaurudia mara kwa mara. Vyombo vingine vyote vya habari hapa kwetu vilipigwa mkwara visiuripoti ila ndo ushafika kila mahala. Roma ni taasisi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

    Kinachotamkwa na Roma sio kekele ndugu,ile ni taasisi makini inayojielewa nini inachokifanya. Kaa mkao wa kuona mwekekeo mwingine wa jambo hili.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Mwaka jana daladala likapinduka nikatoka mzimaaa nikiwa na mchubuko kwenye mkono huku abiria wenzangu wengi wakiwa wamevunjika mikono na wengine miguu hawawezi kusimama. Mwaka huu nimepanda bodaboda nyuma nimeshikilia godoro likiwa kati yangu na boda wangu. Ghafla kishindo kikali kikasikika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Neema Lugangira (CCM) afika Vatican na kupokea Mkono wa Baraka wa Baba Mtakatifu Papa Francisc, atubu dhambi zake!

    Ametubu kushiriki dhambi ya kubariki mkataba tata wa Dp world?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Moyo wangu umeugua kwa dhuluma KKKT waliyomfanyia Askofu Bagonza

    Mimi ni mlutheri lakini KKKT yetu ilishajifia,ni migogoro kila kukicha na ubabe. Tutendelea kuwaunga mkono TEC na waraka wao wanaume halisi. Fides et ratio.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    No,ripoti kutoka Russia kwenyewe zinasema ndege imeshambuliwa. So hapo ni Putin mwenyewe.
Back
Top Bottom