Kuitana Beberu sijui majina gani, haisaidii. Mbona tunasubiria takwimu zao kutuambia tumepanda au kushuka. Wakituambia tupo uchumi wakati sasa, nishangwe kila kona.
Ila wakituambia hatuna Demokrasia, tunanuna na kuanza kuwatukana. Tukitaka Ndege, tunawafuata wao, tukitaka uchimbaji twawahitaji...