Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,923
- 8,314
Kesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kwani kesho mbali mkuu?? Mbona unaweweseka hivi

Naona umenisahau, hahaha!Shukrani pia zifike kwa Molemo , bagamoyo , Mshana Jr , Akilindogosana ,BAVICHA Taifa Sky Eclat , @bawachataifa kwa msaada maalum walionipa wakati wote wa kampeni hii
Je Akwilina RIP hakuitii sheria?Tia sheria bila shuruti, utangolewa jino
Je Akwilina RIP hakuitii sheria?
Chadema ndo walipiga risasi?Chadema walisababisha
Umenisahau Mkuu 😂😂😂Shukrani pia zifike kwa Molemo , bagamoyo , Mshana Jr , Akilindogosana ,BAVICHA Taifa Sky Eclat , @bawachataifa kwa msaada maalum walionipa wakati wote wa kampeni hii
Nitashikiri vyema mimi kama mmoja ya wanachadema tunaosimamia uchaguzi kuhakikisha haki inatendeka.Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Wahenga walisema tangu awali kwamba kidole kimoja hakivunji chawa, bila mshikamano wa wadau wote nyinyi kampeni za Tundu Lissu zisingefikia mafanikio ya 96% ambayo ilifika tangu juzi, Kwa niaba ya Chadema na kwa niaba ya Lissu Mwenyewe nachukua nafasi hii bila kuwataarifu kushukuru kila mdau aliyejitolea fedha, muda, nguvu na bando lake ili kusambaza taarifa za kampeni za Lissu, ni imani yangu kwamba Mungu Mwenyezi atawalipa kwa kazi hii iliyotukuka.
Natambua mchango wa kila mmoja na nauheshimu sana, lakini Kipekee naomba kuwashukuru wafuatao kwa niaba ya wengi, JAMIIFORUMS pamoja na Moderator kwa masahihisho na miongozo, Mungu awalinde watu hawa na mabaya yote katika kipindi walichosaliwa nacho hapa duniani, Shukrani zingine ziende kwa CHADEMA Makao Makuu.
Si rahisi kushukuru watu wote kwenye andiko hili, bali shukrani zetu zimfikie kila mmoja aliyesambaza kampeni za Lissu popote alipo , mmefanya kazi ya kutukuka mno! Nina hakika Mungu atawalipa bila shaka.
Mungu ibariki JF, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Rais Mpya Tundu Lissu.
View attachment 1613452
😆😆😆 Nakutambua mkuu ila karatasi haikutoshaUmenisahau Mkuu 😂😂😂
Na wewe ni wa kushukuriwa sana kwa kweli.Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Wahenga walisema tangu awali kwamba kidole kimoja hakivunji chawa, bila mshikamano wa wadau wote nyinyi kampeni za Tundu Lissu zisingefikia mafanikio ya 96% ambayo ilifika tangu juzi, Kwa niaba ya Chadema na kwa niaba ya Lissu Mwenyewe nachukua nafasi hii bila kuwataarifu kushukuru kila mdau aliyejitolea fedha, muda, nguvu na bando lake ili kusambaza taarifa za kampeni za Lissu, ni imani yangu kwamba Mungu Mwenyezi atawalipa kwa kazi hii iliyotukuka.
Natambua mchango wa kila mmoja na nauheshimu sana, lakini Kipekee naomba kuwashukuru wafuatao kwa niaba ya wengi, JAMIIFORUMS pamoja na Moderator kwa masahihisho na miongozo, Mungu awalinde watu hawa na mabaya yote katika kipindi walichosaliwa nacho hapa duniani, Shukrani zingine ziende kwa CHADEMA Makao Makuu.
Si rahisi kushukuru watu wote kwenye
Inawezekana ICC ni mahakama nzuri but huwa nawaza kwanini USA hataku kupelekwa ICC kapate haki yake?Sasa Jiwe wako ndo mshtakiwa mtajariwa wa ICC
Na yule msababishi mkuu mbona unemsahau? Kwanini mmemkata mgombea yule?Chadema walisababisha
#NiYeyeWakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Wahenga walisema tangu awali kwamba kidole kimoja hakivunji chawa, bila mshikamano wa wadau wote nyinyi kampeni za Tundu Lissu zisingefikia mafanikio ya 96% ambayo ilifika tangu juzi, Kwa niaba ya Chadema na kwa niaba ya Lissu Mwenyewe nachukua nafasi hii bila kuwataarifu kushukuru kila mdau aliyejitolea fedha, muda, nguvu na bando lake ili kusambaza taarifa za kampeni za Lissu, ni imani yangu kwamba Mungu Mwenyezi atawalipa kwa kazi hii iliyotukuka.
Natambua mchango wa kila mmoja na nauheshimu sana, lakini Kipekee naomba kuwashukuru wafuatao kwa niaba ya wengi, JAMIIFORUMS pamoja na Moderator kwa masahihisho na miongozo, Mungu awalinde watu hawa na mabaya yote katika kipindi walichosaliwa nacho hapa duniani, Shukrani zingine ziende kwa CHADEMA Makao Makuu.
Si rahisi kushukuru watu wote kwenye andiko hili, bali shukrani zetu zimfikie kila mmoja aliyesambaza kampeni za Lissu popote alipo , mmefanya kazi ya kutukuka mno! Nina hakika Mungu atawalipa bila shaka.
Mungu ibariki JF, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Rais Mpya Tundu Lissu.
Mapema sana mimi na familia yangu na wote kwa Tundu Lissu RaisAluta continua.. kesho tukapige kura jamani