Recent content by Kampira

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo ndio inayowakosesha uzingizi https://www.facebook.com/Classic105Kenya/videos/1511355702777284/?mibextid=o8GDUBMbUCuD0vqz
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    May you please show us Kenyan driving license please?
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Magufuli aliwapa Sana "Political mileage" pale alipoanza kujibishana nao, kuwakataza kuandamana, kuwapiga na kuwateka hovyo, Kwasababu "they thrive well in chaos", hivi Sasa mama hawasemi Wala hawagusi, wameishiwa hawana Cha kuwashawishi watu wawasikilize wanebaki kufuatilia vitu vya ajabu...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ulita Ulitaka atetee rushwa na ukabila?, tumewapiga kwenye SGR Sasa mnatafuta sehemu ya kujiliwaza
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mkuu, wakenya wanawivu Sana na roho mbaya sana
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwanza ninashangaa Sana hawaTRC kujibu huu ujinga mara kwa mara, wao wafanye kazi tu, haya mambo huwa yanajijibu yenyewe, mtu Kama huyo Jacob, ninashangaa hata ule udiwani walimpaje, hovyo Sana
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Majirani Ile GDP na thamani ya kubwa ya pesa Iko wapi isaidie kuokoa maisha ya raia wenu? https://l.kphx.net/s?d=6330315286838902351&extra=Q1RSWT1UWiZMTkc9ZW4tVVM=
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hili povu sio kawaida toka kwa jiranihttps://youtu.be/Z-CAyuESNec?si=vm9gUnxiTqsD-1Hc
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huyu jamaa alikua akiwaonya Sana wakenya lakini kwa ujuaji wao hawakumsikiliza https://youtu.be/61UV06TkFX4?si=2m-x295cLwdRTAJ7
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya na Burundi ndio zisizokua na viwanja vyenye hadhi inayokubalika na South Sudan. Burundi na South Sudan tunaweza kuzielewa kutokana na Hali zao za maisha, Kenya tatizo liko wapi wakati wanadai kuwa na pesa yenye thamani kubwa?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndio sababu ninawauliza hao wanaosema examination zao ni bora, iweje haiwasaidii kutatua hayo matatizo?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Iweje majumba yanaporomoka Kila siku, rushwa inaongezeka, mnadangamjwa na wachina wanawajengea reli la zamani kwa bei kubwa, mnashindwa kuongeza uzalishaji wa Chakula mnakufa kwa njaa, Sasa hiyo mitihani yenu inasaidiaje katika maisha yenu?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya imeizidi Tanzania katika ukabila, rushwa, njaa na crime rate pekee https://www.facebook.com/100084534322722/posts/pfbid032aDbRhrGC4e8kDwg3SFrRZ6sSGRZ8xRcbqP6Cpa1dAKjKN2s6H9yjgvG5344Rqdxl/?app=fbl
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi wale wakenya wanaosema Kenya imeizidi Tanzania katika uhuru wa vyombo vya habari bado wapo? https://www.facebook.com/100084534322722/posts/pfbid032aDbRhrGC4e8kDwg3SFrRZ6sSGRZ8xRcbqP6Cpa1dAKjKN2s6H9yjgvG5344Rqdxl/?app=fbl
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya ipi yenye freedom of expression kuzidi Tanzania? https://www.facebook.com/100084534322722/posts/pfbid032aDbRhrGC4e8kDwg3SFrRZ6sSGRZ8xRcbqP6Cpa1dAKjKN2s6H9yjgvG5344Rqdxl/?app=fbl
Back
Top Bottom