Recent content by kamosi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimepima Hepatitis B niko positive

    ...vipimo unaweza pata hata temeke hosp or mnaz mmoja ila chanjo n ocean road unaenda na kadi tu maana majibu yanawekwa n database na sindano n 3 kila moja elfu 10..binafs nlifanya vipimo tmk hosp then chanjo nkaenda direct ocean road nkakuta majibu yapo kule...ocean road kuna folen kubwa ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimepima Hepatitis B niko positive

    ..mkuu ukishakuwa positive pale muhimbil wanakufanyia extra vipimo vya kujua km n chronic or acute...nmetoka kulipia lak 6.5 kwa ajil ya ivo vipimo for my relative na NHIF haitumik hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

    ..mkuu hizi zipo tofauti saaaaana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana

    ..mkuu umewasahau NHIF....yupo mdada mmoja ofis ya morogoro n shida sana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO: Uongozi wa Halmashauri ya Kigamboni una matatizo. Haiwezekani kukawa na barabara mbovu namna ile

    Mkuu ungeiona barabara ya kutoka Banana, Kivule..Msongola ikaungane na Mbande karibu na uwanja wa azam hiyo ya kigambon mbona ni lami kabisa. Huku hadi Tata na Tiper za mchanga zinazama kabisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    ..mkuu hii verse ya mwisho imenifanya niamin post ya mtoa maada
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiende jeshini....

    ...ww umepitia jkt kwanza..?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiende jeshini....

    ...hata jkt computer mbona zipo na wanafundishwa...watu wana be trained according to malengo...ungesema huko jkt waongeze masomo including hapo unayotaka ingekuwa poa sana...jkt ina train watu nt only mapigano na ujasiliamal bt also activeness ya mtu....
  9. K

    JamiiForums Tanzania IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

    ..chacha sijawah kutokukuamini....
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko: WCB tulikuwa tunaroga!

    .....ha ha....asil.ya mwafrika
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko: WCB tulikuwa tunaroga!

    ...mkuu hapa umemaliza....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    ...ipo ingine .1 wazi .2 wazi .3 wazi .. .ikifika 6 sasa '
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    ..hapo kwenye namtafuta mke wangu...mwisho ipo..huu mti gan..wa mchoma..ukiukataaa..haukatiki..hata kwa shoka haukatiki hata kwa panga haukatik..wakat mkeo yupo ndan kazingwa kwa kushikana mikono..ww inakata mikono iliyoshikana ukikatika unamkimbiza mkeo huyoooooo kwenye matuta ya viaz...sasa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    ..taambalaleeee nyeng'u nyeng'u X2..tambuuuu tambu nsitambu tambuuu tambu nsutaambu matumbuke singonya ngonya..aingonyonya ya mwaka jana...pete na rundoooo na rundo leo shetan kajamba mbaaaaaa......
  15. K

    JamiiForums Tanzania Vitimbi gani umefanya enzi za utoto?

    ..mkuu umeua kabisaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom