lakini watu wanapojadiri kitu chao humu jf kunaubaya gani adi mwingine ukereke unajuwa baada ya uchaguzi maisha yataendelea ukiwa ukawa ikiwa ccm ruksa kujadili jambo lako kupata mawazo ya wengi
wanaandamana j.3 kwa kujifanya wao cdm kumbe na magamba kujifanya wanampinga el sis atudanganyiki kura yangu el wew slaa maliza tv zote kisha uwamie za kenya na uganda hapa ni lowasa tu
ndiomana tunataka mabadiliko hiki chama ccm ni cha familia wanatabia ya kusema huyu mtt wa mwezetu wampitishe sasa huu ujamaa wao uwe mwisho kabisa october
unajuwa hayo maneno yenu ya el kugawa hela tushachoka nayo mbona wagombea ccm wanagawa hela kura za maoni nao wataziludishaje acheni maneno yasiyo na tija mwacheni mzee wa watu ajaribu bahati yake sifa za ikuru anazo tatizo lenu nin acheni maneno tusubiri sanduku la kura litatoa majibu kimyaaaaaa
ni kweli huu mwaka ndio wa mabadiliko kwa vitendo na wakati ni sasa sio kusubiri tena kwanza mabadiliko mengine baadae wananchi na vijana wote tukumbuke kujiandikisha ili kura yako ilete mabadiliko
kiujumla ukitaka kuoa owa mwanamke ambae hana mtt kwenza baba wa huyo mtt angekuwa mzima wasingeachana na mzazi mwezie zaidi wangezidi kukuchanganya wew mbona ungekoma huku bab wa mtot uku mtt mwizi mbona ungejinyonga nenda kaoe kwenu hilo ndilo jibu kama mjini unapata wenye wtt
wanachama wote wa cdm inapasa kuwaunga mkono cdm yetu tupambane mabadiliko kwanza migogolo baadae tumuunge mzee wetu el kwa mabadiliko ya nchi pamoja wapendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.