1995 - 2015: Watanzania tulichelewa kufanya Maamuzi

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
654
Reaction score
187
Habarini wanajamvi,

Ni muda wa miaka 20 sasa tangu Tanzania ianze kushuhudia vuguvugu la vyama vya siasa.

Nakumbuka mwaka 1995 Mhe. Augustino Lyatonga Mrema alileta amsha amsha katika siasa za Tanzania. Mgombea huyu kupitia NCCR alikuwa ni tishio kwa CCM. CCM ilifanya kila hila kuhakikisha kuwa hatopita. Tukumbuke kuwa kipindi hicho CCM ilipiga bao kwa kutufananisha na Rwanda (Mauaji ya Kimbari). CCM walituaminisha kuwa kama tungechagua upinzani kungekuwa na umwagaji damu. Nasi wa-Tanzania kwa woga wetu tukaipitisha CCM ituongoze tena kwa miaka 10.

Hiyo haikutosha, 2005 tukawapa tena dhamana ya kuongoza mpaka hii leo. Kuna watu wanafananisha mafuriko ya UKAWA ya 2015 na yale ya Mrema ya 1995. Napenda kuwafahamisha kuwa wa-Tanzania wa miaka hii ni tofauti na wale wa "nineteen kweusi".

WaTanzania tunao mfano hai jirani yetu, Rwanda. Mwaka 1995 tulipotishwa kwa mauaji yaliyotokea Rwanda 1994 tukaipitisha CCM lakini hali ya Tanzania ya sasa ni mbaya kuliko hata hiyo Rwanda. Tanzania imepiga hatua nyuma wakati Rwanda wameendelea.

Ukilinganisha hali ya kiuchumi ya Tanzania na Rwanda, kweli CCM wametuburuza. Katika kipindi hiki cha miaka 20, 1995-2015, waTanzania tumewaneemesha wachache na wengi wetu tunaumia. Maumivu haya yamesababishwa nasi kukubali au kuburuzwa na CCM kuua vingi vizuri vyetu. Tumeua viwanda, tumeuza nyumba za serikali, tumeuza migodi, tumeuza mashirika ya umma, tumeuza mawasilianao, tumeuza usafirishaji, tumeuza nishati sijui hata tumebakiwa na nini.

Wakati serikali ya Rwanda ikiwa na mikakati ya kusonga mbele. Serikali ya Tanzania ina mikakati ya kuendelea kuwahifadhi wezi walionyang'anya mali za waTanzania. CCM inaogopa kung'oka kwani wanajua ni mabaya kiasi gani wamefanyia wananchi.

Nadhani wengi wenu humu ndani mnaweza msielewe ila la msingi nalotaka kuwaeleza ni kuwa, kwa kutofanya uamuzi sahihi wakati sahihi, utaendelea kulalamika bila kujua kuwa wewe ndiye mwenye kujiletea mabadiliko. Tuliogopa kufanya maamuzi 1995 lakini mwaka huu ni vyema tufanye mabadiliko.

Woga wako ndio umasikini wako.

Kuna watu wanajaribu kutufanyia utafiti eti Mh. Magufuli atashinda. Hizo ni propaganda za CCM kujaribu kuendelea kukaa madarakani.

Shime wananchi, tumia kura yako kuhakikisha unafanya chaguo sahihi.
 
Miaka 20 ni umri wa mtu. Na mwaka 95 vijana wa miaka 39
0 sasa walikuwa watoto bado na ndio walio barabarani wengi kwa kukosa ajira. Hasira waliyonayo dhidi ya CCM ni kubwa kuliko maelezo. Uchaguzi utafanyika wakiwa na nia madhubuti kuwaondoa madhalimu CCM. Na chonde chonde kusiwepo wizi wa kura, vijana wako tayari kufa wakitetea haki yao.
 
Habarini wanajamvi,

Ni muda wa miaka 20 sasa tangu Tanzania ianze kushuhudia vuguvugu la vyama vya siasa.

Nakumbuka mwaka 1995 Mhe. Augustino Lyatonga Mrema alileta amsha amsha katika siasa za Tanzania. Mgombea huyu kupitia NCCR alikuwa ni tishio kwa CCM. CCM ilifanya kila hila kuhakikisha kuwa hatopita. Tukumbuke kuwa kipindi hicho CCM ilipiga bao kwa kutufananisha na Rwanda (Mauaji ya Kimbari). CCM walituaminisha kuwa kama tungechagua upinzani kungekuwa na umwagaji damu. Nasi wa-Tanzania kwa woga wetu tukaipitisha CCM ituongoze tena kwa miaka 10.

Hiyo haikutosha, 2005 tukawapa tena dhamana ya kuongoza mpaka hii leo. Kuna watu wanafananisha mafuriko ya UKAWA ya 2015 na yale ya Mrema ya 1995. Napenda kuwafahamisha kuwa wa-Tanzania wa miaka hii ni tofauti na wale wa "nineteen kweusi".

WaTanzania tunao mfano hai jirani yetu, Rwanda. Mwaka 1995 tulipotishwa kwa mauaji yaliyotokea Rwanda 1994 tukaipitisha CCM lakini hali ya Tanzania ya sasa ni mbaya kuliko hata hiyo Rwanda. Tanzania imepiga hatua nyuma wakati Rwanda wameendelea.

Ukilinganisha hali ya kiuchumi ya Tanzania na Rwanda, kweli CCM wametuburuza. Katika kipindi hiki cha miaka 20, 1995-2015, waTanzania tumewaneemesha wachache na wengi wetu tunaumia. Maumivu haya yamesababishwa nasi kukubali au kuburuzwa na CCM kuua vingi vizuri vyetu. Tumeua viwanda, tumeuza nyumba za serikali, tumeuza migodi, tumeuza mashirika ya umma, tumeuza mawasilianao, tumeuza usafirishaji, tumeuza nishati sijui hata tumebakiwa na nini.

Wakati serikali ya Rwanda ikiwa na mikakati ya kusonga mbele. Serikali ya Tanzania ina mikakati ya kuendelea kuwahifadhi wezi walionyang'anya mali za waTanzania. CCM inaogopa kung'oka kwani wanajua ni mabaya kiasi gani wamefanyia wananchi.

Nadhani wengi wenu humu ndani mnaweza msielewe ila la msingi nalotaka kuwaeleza ni kuwa, kwa kutofanya uamuzi sahihi wakati sahihi, utaendelea kulalamika bila kujua kuwa wewe ndiye mwenye kujiletea mabadiliko. Tuliogopa kufanya maamuzi 1995 lakini mwaka huu ni vyema tufanye mabadiliko.

Woga wako ndio umasikini wako.

Hatukuchelewa ni wakati tu ulikuwa haujatimia
 
UPINZANI WA KWELI UTATOKA CCM....(Mw. Nyerere) mwisho wa kumnukuu.:disapointed:
 
ni kweli huu mwaka ndio wa mabadiliko kwa vitendo na wakati ni sasa sio kusubiri tena kwanza mabadiliko mengine baadae wananchi na vijana wote tukumbuke kujiandikisha ili kura yako ilete mabadiliko
 
Back
Top Bottom