Recent content by Kamili Gado

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hapa wabunge mbona siwaelewi

    Hadi wabunge ambao sio wakristo nao wanasema kila mmoja abebe msalaba wake.Tafakari mkuu usikimbilie kuropoka tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hapa wabunge mbona siwaelewi

    Hadi wabunge ambao sio wakristo nao wanasema kila mmoja abebe msalaba wake.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mambo machache ya kushangaza kuhusu Nabii Eliya Mungu wa Majeshi

    Kikubwa kuliko vyote ambacho kinanishangaza ni kumuita/kujiita Mungu Mwenyezi!!! hii kufuru kubwa sana.labda fafanua kwa nini mnamuita Mungu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna lawama kwa walimu siku hizi kuwa walifeli mitihani, na hawafundishi

    Tuliza munkari mwalimu! kwani police nao wanadhamana ya kufundisha watoto wetu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Dini maana yake ni Imani, na Imani maana yake ni kuwa na hakika wa mambo yatarajiwayo . sasa kama nyie hamna dini inamaana hamna hakika na mambo yatarajiwayo ? Mbona sasa mnahubiri mambo ya Imani kama nyie hamna Imani?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Shikamoo! nimestuka sana kuona kwamba umemaliza degree yako muda ambayo hata kuzaliwa sijazaliwa, lakini nimesikitika sana kuona na umri wako wote huo unaongea vitu ambavyo havina mashiko kabisa na msomi wa ukweli akiwa objective hawezi kukubaliana na stereotyping kama hii ya kwako. pengine...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye ukweli kuhusu ust Jafari Siraji wa MUM anijuze tafadhali

    Hivi kwa nini hakuna marehemu Mwenye sifa mbaya? Just curious I don't mean to offend any one.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye ukweli kuhusu ust Jafari Siraji wa MUM anijuze tafadhali

    Upo sahihi asilimia 100. Ubarikiwe sana
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haka ka'ugonjwa ni kwa wanawake wote au wangu tu?

    Huo ugonjwa ni wa mke wako tu .pole sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Times Ziro, Yani Buyu kabisa!

    kama wewe ni mwanasheria basi utakuwa mwanafunzi wa mwaka wa 1 au 2 coz hata maadili ya taaluma bado huyajui! huwezi kumuita mwanasheria mwenzako ziro , Buyu! sasa ngoja nikupe darasa kidogo , hiyo doctrine ya privity to contract ( sio privity of contract kama ulivyoandika) lazima ui...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, Kunununua mali za kikundi kisichosailiwa wala hakina katiba

    ushauri mzuri kwao waambie waende kwa mwanasheria ili awape ushauri unaofaa baada ya ku disclose facts zote.kwa kuwa nawewe ni third party hutaweza Ku disclose facts zote zinazohusu hilo jambo. mwanasheria kabla hajatoa ushauri atakuuliza maswali mengi sana ili ajue kila kitu then anakupa ushauri
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

    Uki disco usije kuanza kukiponda chuo!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ninachohisi pale ninapotoa comment au kujibu kitu JF

    Kama id yako haina shida, iko wazi kabisa kwamba ME hawezi kuitwa "CUTE" .coz neno Cute (mrembo) linatumika kwa KE .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ninachohisi pale ninapotoa comment au kujibu kitu JF

    Wewe mwenyewe jinsi yako haijulikani kama ni ME au KE , unaweza pia kuwa ni mdada coz Assistant Tutors wakike nao wapo wengi tu. kuondoa utata anza wewe kwanza
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara Bakers Hughes Company for Oil & Gas - Mtwara Wanalipaje.

    Kwani wewe unataka kulipwa ngapi? au huna malengo yeyote? .kama huna malengo basi utalipwa hata laki 2 kwa mwezi
Back
Top Bottom