Huyo ndiye mwakilishi wa wananchi na lugha zisizofaa. Wanaoishi Sinza si binaamu wa kawaida? Je Sinza nani anstahili kuishi huko? Je Martha Mlata anao walinzi wangapi kwa sasa? Au kajisahau hata jukumu lililompeleka mjengoni? Ni bahati mbaya sana lakini ebu tuendelee kusikiliza yatokanayo:yell:
Jamani, hali hii si nzuri. Wataalamu wakae waangalie tunakokwenda ili watuongoze tushirikiane katika kujenga Taifa. Tuache kubezana kwa sababu jambo hili sio la kichama, tunaadhirika watanzania wote. Huu ni wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo. CDM onyesha direction kama lipo la kufanya.
Kwa kweli inasikitisha kwamba SHIKITA linahitaji kuchangiwa fedha kwa ajili ya chakula na vitu vingine. Je, wana uhakika upi kwamba kila atakayeomba kazi ataitwa kwenye usailii? Au huo ni utapeli wa aina yake? Kama kazi zipo kweli waitwe watakaonufaika na wachangie hiyo 20 kwa kuwa watakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.