Recent content by kambwaja

  1. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

    Ok
  2. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

    Ahsante mkuu
  3. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

    Kwann ?yaaani mm niamia mwaka huu na pia nihame tena ,,
  4. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

    Umesomaje kama sijui kuandika,,,basi naww hujui kusoma kamanda!@
  5. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

    Salaaam wana Jf,,,mm ni mtumishi serikalini idara ya Elimu(mwalimu),Nimekumbwa na swaibu la kuhamishwa kituo changu kipya ,Ambapo katika kituo hiki niliamia kutoka wilaya ya Ifakara nakuja wilaya hii ya kilolo, Niliamia wilaya hii tarehe 12/11/2017,nakuendelea kufundisha na kufanya majukum...
  6. kambwaja

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Nataka kujalibu namm wakati wa mvua,,, hasa mwezi wa pili kwenda mwezi wa tano,,,,, nataka kujua wakati huu wa mvua haitakuwa vibaya? Kama ulivosema tikiti haliitaji maji mengi
  7. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Uharibifu wa mazingira haujafanywa zaidi Africa kuliko sehemu zozote duniani,,, hasa mabara yao hawa wazungu,,,, nampongeza magufuli kwa kuwa mzalendo juu ya hili
  8. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Naona siasa Za wanasiasa toka mbeya wakiungana bila kujala uchama kuonesha ni jinsi gani walivotengwa na raisi wao,,,,,,,,,, 3=yearz hajafika mkoa wa mbeya,,, natafuta data kujua nimikoa gani huyu gufuli hajafika mpaka sasa tangu awe raisi
  9. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Exact mada imejadiliwa xana hapo nyuma
  10. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Eee kichwa huongozwa na vichwa
  11. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua ya Prof. Mark Mwandosya: Salaam kutoka Comoro

    Really prof,, love u mzee
  12. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mji Mkuu ambao hauna Mto/Ziwa au maji!

    Hahaaaaaaa,, jaman mbavuu
  13. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

    Umenena mswahili,, kiki wafanye kwa pikipiki
  14. kambwaja

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

    Jombi,, hope wahenga kidgo hapa mbeya mtakuwa mnamjua
Back
Top Bottom