Recent content by kambona jr

  1. kambona jr

    JamiiForums Tanzania IPAD Msaada

    Wakuu je naweza kutumia IPAD kama mobile phone. Yani kama kuna option ya kupiga simu au kutuma text au kama apps za kuniwezesha kutumia huduma hzo. NATANGULIZA SHUKRAN WAKUU
  2. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Natumia windows phone, nashindwa kuangalia video Instagram

    Nina hilo tatizo pia Mkuu natumia nokia 1320... Hiyo 6tags ni kwa windows 10 tu au ata kwa 8.1 inafaa maana niliupdate kwenda windows 10 ikawa inanizingua nikaachana nayo
  3. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Subway surfers windows phone hack

    Shukrani
  4. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Subway surfers windows phone hack

    Nawezaje kuifanya iwe developer unlocked?
  5. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Subway surfers windows phone hack

    Kwa anaefahamu kama inawezekana kuhack hii game ya subway surfers kwenye WP OS ili kupata unlimited keys na coins... Thanks in Advance
  6. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    hyo flash sports ni nzuri san ila kwa mwenye kujua jinsi ya kulpia huduma zao baada kumalza free trial ya 7 days msaada tafadhali... Pia nimeona kna shm ya chalenges unapewa point ambazo ztakuwa znakuwezesha kustream free ambae bado aja2mia jaribu hii k2 iko poa
  7. kambona jr

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    windows phone.....
  8. kambona jr

    JamiiForums Tanzania WINDOWS PHONE 10.... jinsi ya kutumia CONTINUUM

    pa1 xana nmekupata chief mkwawa
  9. kambona jr

    JamiiForums Tanzania WINDOWS PHONE 10.... jinsi ya kutumia CONTINUUM

    xaw hyo nmeangalia bro ila inahtajka baadh ya hardware ili kufanikisha km kna wire wa kuconect kutoka kwenye cmu kwenda HDMI upatkanaje uko vp kwa hapa dar?... 10x kw hyo link
  10. kambona jr

    JamiiForums Tanzania WINDOWS PHONE 10.... jinsi ya kutumia CONTINUUM

    Kwa mwenye uelewa juu ya matumizi ya hii new feature ya windows 10 phone inayo julikana kama CONTINUUM ni kwa ajil ya kutumia simu kama PC kwa kuunganisha kwenye monitor kisha kutumia kama PC..... Msaada kwa mwenye kujua zaidi khs hii feature; jinsi kuunganisha, kutumia na hardware znazohtajka...
Back
Top Bottom