Recent content by kambitza

  1. kambitza

    Usingizi umekata nasubiri uteuzi na utenguzi; Je, mimi ni waziri gani?

    Sema kwenye Siasa kuna majungu mno. Ukiwa kiongozi unatakiwa kuwa makini kupita kiasi.
  2. kambitza

    Vitu vinavyo mshusha Mama

    Mimi mama ananikwaza anavyosema yeye ni mama analea. Uwiiiiii watu wakisikia hivyo ni kama anawafungulia. Nenda mahakamani huko ndo utajua nachomaanisha, walinzi wa haki wanakula milungula wazi wazi na yeye ni kama hasikii. Wakikosea wanabadilishwa vyeo, ki ukweli namkubali mama kishingo...
  3. kambitza

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Nilimtetea huyu Jaji sikuwa sawa….Jaji Mkuu anapaswa amuangalie huyu jaji kwa jicho kali. Hatendi haki.
  4. kambitza

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Sawa, waende uko kwingine watuache na hasara yetu. Kinachowauma nini?
  5. kambitza

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Kwa hiyo mama akubali mikataba ya unyonyaji kwa sababu ya hoja hizi?
  6. kambitza

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Kuliko kuwapa kwa faida ndogo ni bora tuache hayo magesi ardhini.
  7. kambitza

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Mh Rais kama makubaliano hayana maslahi kwa nchi yatupilie mbali.
  8. kambitza

    Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

    Ki ukweli mahakamani haki hakuna. Simkubali Makonda na mambo yake ila kwenye hili yupo sawa kabisa.
  9. kambitza

    Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

    Kuna tekniki natumia ya video zipo Youtube zinakuongoza ujinenee mazuri zinaitwa law of attraction meditation. Aisee hiyo kiboko! Natafuta sehemu tulivu nasikiliza hizo video alafu nazifuatisha. Nikitoka hapo hata kama kuna mlango ulifungwa lazima ufunguke.
  10. kambitza

    Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

    Tukio limefanyika 2019….Kesi imefunguliwa 2020. Imeanza kusikilizwa 2023 baada ya miaka 3. Kuna harufu ya kitu. Huyu dogo inabidi serikali imlinde kwenye kesi yake.
  11. kambitza

    Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Mlinyimwa michongo mkaunda genge la kuwachafua wenzenu. Kiukweli maharage na wenzake wasiumizwe kichwa na hizi kelele zenu. Waendelee kujivunia maamuzi yao ya kuwapiga chini.
  12. kambitza

    Mwenye neno lolote aniambie japo kupoza akili yangu

    Kwa uzoefu wangu. Haya ndo yanakujenga..Mara nyingi mwisho huwa mzuri, mtihani ni kuvumilia tu.
  13. kambitza

    Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    1. Wewe bado mtoto. Msikilize Mama kuna mienendo anaiona kwako inamtia hofu. Yupo katika mapambano ya kukuokoa. 2. Kinachofanya usirudi home ni hofu ya kukosa uhuru wa kufanya utoto wako unaoufanya ukiwa chuo. 3. Kuna vijitabia umejifunza chuo unajua utashtukiwa na maza na itazusha maneno.
Back
Top Bottom