Recent content by Kambasegela

  1. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    wajumbe 23 ameteua waislam watupu wakati ni tisa tu ndiyo dini nyingine huyu jamani
  2. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    JK anataka kutibu madonda ya salim ahamed salim aliyomsingizia kuwa ni hisbu alimua karume na kumkatisha ndodto yake ya urais anataka kurudisha mahusiano anajua salim anamachungu sana katika hili kwa hilo natilia shaka uteuzi huu utakuwa na comflict of interest.kuhusu walioba mwoga kigeugeu siku...
  3. K

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Tunapo hisi kufa natufanye hivyo kwa ujasiri, maana kilio chetu watu wamekisikia , pale tutakapo dodoka wengine wataokota silaha kuendeleza mapambano.tunasema kama watumwekea pingamizi G.Lema ,serikali ilitambue hili mapema tutaandamana kupinga pingamizi hilo tupo tayari watuue kama wale...
  4. K

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    kwakweli umenena ,unakisima cha hekima ,umesheni falsafa kama socretes
  5. K

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    mtenga hoja nimemkubali ameleta,mawazo mazuri kwa jinsi ninavyoona ,ila ni mwombe tu kwamba asiogope chadema arusha ukiitishwa uchaguzi baada ya siku tisini kuisha cdm itashinda,ccm hawana afya wanautapia mlo wa kisiasa hawana mvuto tena kwa wananchi wanatapatapa.subiri watakavyo anza kugombana...
  6. K

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    umetumwa ondoa kinyesi chako hapa,wewe unaijua histori ya rostam azizi ,mwache sabodo aendeleze harakati za ukombozi kwa watanzania .
  7. K

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    Sobodo mungu awe juu yako ,akulinde na mafisadi akuepushe na balaa la mashetani ccm wasije wakakudhuru mwanamapinduzi kama ghandi
  8. K

    Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

    Nyerere tuna mkumbuka ,tulimpenda alitufikisha mahali pazuri watanzania ,lakini pia mwanafalsafa maarufu mwanasisi wa falsafa ya kuhoji socrates alipendwa na watu wenye fikra pevu pamoja na kifo chake ,lakini watoto wake 3 wa mwanafalsafa huyo pamoja na umaaeufu wa baba yao watu wa athens...
  9. K

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    Jamani ni vema fikra pevu zikatumika vizuri kwenye mjamvi huu,jaribuni kurejea mambo mengi yanayopita yanaweza kukupa picha ya watu wa mbeya na wailaya zake,,kyela iliwahi kumwacha waziri mkuu kawawa kwenye mkutano wa hadhara wakatawanyika baada ya kutoa pumba ,wanaojua histori ya anangisye...
  10. K

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Tunaweza kufanya hivyo kama katiba mpya itaundwa na itabana walarushwa wanunua uongozi watatoweka vinginevyo wazo la mtatiro ni mavi ya chooni.namshangaa mtatiro tulipokuwa chuo kikuu cha dar alikuwa mawanaharakati wa kupignia haki za wanachuo leo hii amekuwa gamba la ccm ambalo alilipinga kwa...
  11. K

    Ushindi wa Arumeru_mabadiliko mkumbo?

    ukifuatila profile na dr benson utacheka sana hata utajiuliza alifikaje hapo huyo poyoyo
  12. K

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    ccm wanasumbuka nisawa na mtu anaye zama kwenye maji hudiriki kushika maji ili ajiokoe kumbe maji hashikiki anazama chdema ni maji hashikiki ,ni moto wa mbugani
  13. K

    Mwandishi amtoa kijasho RPC mkoa wa Mwanza

    Iringa waandishi wa habari waliandamana kupinga vitendo vya kuchaguliwa habari za kuandika.tena wanahabari wale wanapaswa kuonwa kwa jicho la pekee , wanajitambua wamejikomboa kifikra ,moto huo ungeambaa kote nchini kupinga vitendo vya kijinga kama hivyo ,sasa RPC wa Mwanza anapomfukuza...
  14. K

    Nataka NAPE ujibu hili

    uNAJIJIBU MWENYEWE NAPE POLE UNA UBONGO WA BATA
  15. K

    Mapenzi ya Kikwete kwa Haji Mponda na Lucy Nkya, Mauti kwa Watanzania Masikini

    Nijambo la kushangaza anapata kikugumizi gani kuwafuta kazi mponda na nkya?,je anataka watu wafe watolewe kafara kwa madaktari ndipo awafute kazi? ana ubia gani kikwete na hao mawaziri ? badala ya kwenda kukutana na madaktari anakwenda kukutana na wazee wa ccm wanajua nini ,kwanini asikutane na...
Back
Top Bottom