Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

Ni mwana Kyela!Hamna risala kama hiyo iliyoandaliwa kwa sababu ya Dr Mwakyembe kwani HANA NGUVU TENA KISIASA na hata kupita kwenye kura za maoni CCM mwaka 2015 hawezi!Kyela imechoka na visingizio vya Dr Mwakyembe tukimuuliza kuhusu maendeleo!

Kyela's MP seat itakuwa very hot mwaka 2015 na Dr Mwakyembe sio mmoja wao na ninahisi akiona kuwa hali sasa kwake kisiasa ni mbaya ATAJIONDOA MWENYEWE!

Kimsingi risala inayodaiwa kusomwa ni ya kutunga tu na hamna kitu kama hicho;Banyakile taja kikundi kilichoiandaa risala hiyo ya ajabu na ilisomwa na nani wapi na lini?
 
Huu ni ujinga sana jamani sisi Kyela ni masikini, masikini sana tena sana.hatuwezi kuvumilia kila siku kyela kyela,Miaka nane jamaa anaendelea kudanganya tu.Kakundi kalikoanzishwa na Mwakyembe kyela ndo kamegawa wana Kyela,mi baba mizima pumbavu kila siku ni kulia na kutafuta umaarufu wa huruma.Mwakyembe huyu na kundi lake dogo la Kyela waongo wakubwa hao.
1.Kwanza ndo wenyewe walitangaza kwamba Mwakyembe amefariki ili Mwakyembe apate huruma
2.Wakatangaza kwamba wazee wa Kyela watakwenda kumwona rais..wakati wazee wenyewe wa kyela hawajuhi
3.Wameitisha mandamano ya kwenda stamico kumpokea Mwakyembe na kujazia bodaboda mafuta na risala aliandika Mwakyembe mwenyewe.
Tumechokaa...Stop Mwakyembe 2015.....
 
Mukenyile - chezea hangine sio watu wa kyl - ni wa wazi mno - nafikiri watu bado wana kumbukumbu ya mazishi ya Mpangala RIP.

Kumbushia mazishi ya Mpangala watu wakumbuke. Sema tu kitu kimoja ni kuwa awe Lowassa, au Mwandosya au Mwakyembe, wasipotoka CCM kunisadikisha kuwa ni wasafi kuelekea 2015 itakuwa kazi sana maana hakuna pilau katika sinia lenye taka za chooni. Pilau itanuka na kuleta kichefuchefu. Ili kuwa salama wachomoke humo. Hata Lowassa akitaka achomoke humo halafu atoe maelezo sahihi ya kujitoa kwake muhanga kwa sababu ya kulinda wengine au chama. Tukiona hajakamatwa au kuugua ugonjwa wa ngozi, akiwa anafanya hayo na Nchimbi na Mwakyusa wakiwa hai basi tutajua ni kweli nasi tutamwamini.
 
Unauliza Lowasa ni nani katika nchi hii? Hujui? Yeye ni janga la taifa, nyoka anayenyemelea mtoto achezaye ammeze. Tuombe Mungu na kusimama imara kupinga hila zake mbaya za kununua uraisi kwa nguvu zote hata . sio mchezo huyu jamaa amepania.
hv wana-jf huyu mtu anayeitwa lowasa ni nani katika nchi hii? Yaani kama tutakubali kuburuzwa na masaburi yake basi wazalendo wa ukweli wa nchi tutakuwa tumekufa wote.
Swali:kwann anatumia nguvu nyingi kiasi hiki kujisafisha na hatimaye urahisi? Kama majirani zake tu (wana arumeru) wamemkata iweje tanzania nzima. Ashindwe na alegee.
 
Huu ni ujinga sana jamani sisi Kyela ni masikini, masikini sana tena sana.hatuwezi kuvumilia kila siku kyela kyela,Miaka nane jamaa anaendelea kudanganya tu.Kakundi kalikoanzishwa na Mwakyembe kyela ndo kamegawa wana Kyela,mi baba mizima pumbavu kila siku ni kulia na kutafuta umaarufu wa huruma.Mwakyembe huyu na kundi lake dogo la Kyela waongo wakubwa hao.
1.Kwanza ndo wenyewe walitangaza kwamba Mwakyembe amefariki ili Mwakyembe apate huruma
2.Wakatangaza kwamba wazee wa Kyela watakwenda kumwona rais..wakati wazee wenyewe wa kyela hawajuhi
3.Wameitisha mandamano ya kwenda stamico kumpokea Mwakyembe na kujazia bodaboda mafuta na risala aliandika Mwakyembe mwenyewe.
Tumechokaa...Stop Mwakyembe 2015.....
wewe nimekuambia kaa kimya na acha kudanganya watu hapa kwenye mtandao maana haupo Kyela na unahadithiwa tu, endelea kutumika na mafisadi ili wakushikishe kuta. ulizia vizuri wakuambie wasikudanganye Kyela inajua yote aliyoyafanya Mwakyembe na ndio maana ina muunga mkono. Hakuna Mbunge aliefanya makubwa Kyela kama Mwakyembe. Ndg yangu hujui hata eneo alipopokelewa Mwakyembe, unadanganya kuwa ni Stamico, Shame upon you!
 
Hiyo vita ya Tembo nyie Nyasi mnaitakia nini? au mna hamu ya kuumizwa?

Lowassa akija huko hamuwezi kufanya lolote hizo ni kelele tu kama za Debe tupu. maana hakuna hata mmoja wenu wala Mwakyembe mwenyewe anaweza kuthibitisha kuwa amegongwa na Nyoka Lowasa.

Hakufa this time basi Amshukuru Mungu wake atulie asubirie another strike. Ndani ya CCM kila mtu na Adui wa mwenzie msijidange kuwa adui wa Mwakyembe ni Lowasa na Rostam only.

Hiyo ni Mbeya na wala si Dar kwa waoga!
 
Mwakyembe kafanya makubwa yepi hapo Kyela_kashindwa hata hili jepesi....mabomba ya maji yametandazwa wilaya nzima lakini hayatoi maji,.....pumbafuuuu sake!...acha kutetea upuuzi.
 
wewe nimekuambia kaa kimya na acha kudanganya watu hapa kwenye mtandao maana haupo Kyela na unahadithiwa tu, endelea kutumika na mafisadi ili wakushikishe kuta. ulizia vizuri wakuambie wasikudanganye Kyela inajua yote aliyoyafanya Mwakyembe na ndio maana ina muunga mkono. Hakuna Mbunge aliefanya makubwa Kyela kama Mwakyembe. Ndg yangu hujui hata eneo alipopokelewa Mwakyembe, unadanganya kuwa ni Stamico, Shame upon you!

We ndo unatumika tena "ULIKONYOFU"Kyela watu masikini sana mbunge ngojela miaka yote nane
 
Inawezekana wewe ndiye mpuuzi kuliko wote halafu hujielewi.

Jamani ni vema fikra pevu zikatumika vizuri kwenye mjamvi huu,jaribuni kurejea mambo mengi yanayopita yanaweza kukupa picha ya watu wa mbeya na wailaya zake,,kyela iliwahi kumwacha waziri mkuu kawawa kwenye mkutano wa hadhara wakatawanyika baada ya kutoa pumba ,wanaojua histori ya anangisye mwasakafyuka wa rungwe ,wanaokumbuka historia ya tabitaha siwale ,wanaokumbuka kifo cha mkuu wa mkoa moja wa mbeya miaka ya siti ndiyo utaijua kuwa watu wa mbeya ,rungwe ,kyela ,nakuingineko hawakopeshi ,mulizeni nahaodha ,mulizeni kikwete mwenyewe ,mulizeni mwakipesile na ziara ya makamu wa rasi ya hivi karibuni bila kumsahahu kandolo na advocate nyombi tangu zamani mkoa wa mbea ul;ikiwa nimkoa wa wanamageuzi hata marehemu baba wa taifa analijua hili kama mtu huna data usichangie wala kuposti vumbi kwa wasomi humu .
 
We ndo unatumika tena "ULIKONYOFU"Kyela watu masikini sana mbunge ngojela miaka yote nane

Hapa suala la watu maskini sio issue_maake hata dar,arusha,mwanza etc,etc watu ni maskini tena sana.....issue hapa ni mchango wa Mwakyembe Kyela kama mbunge ni mdogo sana compared na porojo na mbwembwe zake.
 
NATAMANI SANA AJE KYELA HUYU EL.
ILI AJUE KUWA KAMA AMEHUSIKA NA MARADHI YA DR. MWAKYEMBE AMA HAJAHUSIKA UKWELI NI KWAMBA WANA KYELA TUMEAMUA KUAMINI HIVYO YEYE NI SUSPECT NAMBA 1.
KUJA KWAKE KYELA NI KAMA KUTUSHIKA MBONI YA JICHO...
NATAKA KUJUA KIONGOZ WA DINI ALIYETOA MUALIKO WA EL? KAMA YUPO HAPA KYELA AOMBE ULINZI KWANI HUYO SI MWANAKYELA.
TUNAJUA JINSI CCM ngazi za juu wanavyoutendea mkoa wa Mbeya toka zile nguzo za umeme walizopeleka Kaskazn na hali ule ulikuwa msaada wa Uingereza kusambaza umeme Toka Mby hadi Tukuyu na Kyela.
Tunajua jinsi walivyofanya mpaka kiwanda cha Kahawa kikapelekwa Kilimanjaro na wakati Mbozi na Tukuyu walistahili kuwekewa kiwanda chao hapa kusini.
Kuna uhalali gani pesa za wakulima wa kahawa wa Mbeya kuingizwa hazina kuu?
N.k
Tukiwa tumezanyamazía hayo lipo la Uwanja wa wa ndege wa Songwe na lile soko la Afr. Mashariki Ben aliacha mchakato liwe Mby but JK na EL wanajua walichofanya.
Yote 9. Kumi EL AKANYAGE KYELA. HATASAhau TENA KAMA ANA AKILI SAWA ASITHUBUTU.
KWA HILI.....!
 
Safi sana kamanda. Wasifikirie Kyela ni watu wa miteremko kama zilivyo wilaya nyingine. Wananchi wa Kyela ni watu wa maamuzi na wanatenda na kutekeleza kile wanachoamini. Alionja machungu marehemu waziri mkuu wa zamani pale walipo funga maduka ya watu binafsi na kuleta maduka ya ujamaa mwaka 1973.Walimdharau na kumzomea wazi wazi alipo kuja ziarani. Ni wapumbavu wa akili wale wanaodhania Kyela ni ya watu goigoi.
 
Hiyo vita ya Tembo nyie Nyasi mnaitakia nini? au mna hamu ya kuumizwa?

Lowassa akija huko hamuwezi kufanya lolote hizo ni kelele tu kama za Debe tupu. maana hakuna hata mmoja wenu wala Mwakyembe mwenyewe anaweza kuthibitisha kuwa amegongwa na Nyoka Lowasa.

Hakufa this time basi Amshukuru Mungu wake atulie asubirie another strike. Ndani ya CCM kila mtu na Adui wa mwenzie msijidange kuwa adui wa Mwakyembe ni Lowasa na Rostam only.

Go ahead with your hypocritical diplomacy.
Au unanitafutia JF BAN?
 
Kama wanayosema ni kweli wajue kuwa hawatakuwa salama kama wanataka kupambana na mafisadi wakiwa ndani ya chama cha mafisani. NAWASHAURI WACHUKUE HA2A WATOKE HUKO WALIKO WAJIUNGE NA CHAMA TOFAUTI KWANI CCM IMEONYESHA KUTOKUWA TAYARI KUWAFUKUZA MAFISADI.
 
Hakuna wana kyela hapo,nyie ni kakundi cha watu wenye njaa zenu.mmekalia kugawa wana kyela bila sababu.Wajinga nyie hamna kitu chochote.Lini mpokelewa anaandaa mapokezi na kujaza bodaboda mafuta.Kudadadek nyie,wapuzi kabisa,wilaya haina kitu nyie maugonvi tu.

KWA HIYO UNATAKA KUMUONA EL Kyela?
Bahati yako sijue wewe unatoka Kyela ama la?
Toka hapa.
 
Nasikia kichefuchefu...
Anyway,ngoja nilale,nitarudi

nimerudi.
MY TAKE:Wananchi wa kyela wawe macho!
Wajue Mwakyembe anapita,atakufa lakini KYELA yao itabaki!
Kuendekeza ushabiki wa kipumbavu juu ya MWAKYEMBE huku maendeleo yakiwa kiduchu ni kutowatendea haki watoto wao na kizazi kijach.o
 
Kumshabikia Mwakyembe inatakiwa akili ya maiti au "IKHIGHUNE"maana yeye ni Gamba la Kinyonga,kila siku anakuja na mbinu za uongo,maendeleo Kyela hakuna,.Toka tumchague Mwakyembe,amefanya nini,zaidi ya lowasa lowasa,Mara Mwakipesile alikuwa ananikwamisha,sasa mwakipesile hayupo hamsemi tena.Mwakyembe ni gamba la kinyonga na bangi za Malawi.

Hata kama Mwakyembe ni gamba ndo umuue kwa sumu? Jaribu kusogea Kyela na kauli kama hizi ndo utakumbuka kauli hizi
Baba ni baba na mama ni mama.
Damu nzito kuliko maji.
(Mwakyembe ni damu na Lowassa ni Maji)
 
Back
Top Bottom