Recent content by Kambarage

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Enzi za Mwalimu angevunja Bunge zima na Baraza la Mawaziri Rushwa ya jumla kabisa hii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa." Magufuli alitoa kauli hiyo kuwalenga baadhi ya wastaafu ambao aliwaona kuwa wanaleta chokochoko...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Hata ukitumia maandishi makubwa na bold ukweli utabaki palepale, Edward Lowassa hafai kuwa kiongozi Tanzania. Ni mpenda mali, ana utajiri mkubwa wa mashaka, amehusika na kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana akalazimika kujiuzulu na ni kibaraka wa Rostam Aziz. Samuel Sitta na Harrison...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Samwel Sitta ndiyo kiongozi wa CCM anayekubalika na wananchi wa Tanzania kuliko mtu yoyote yule kutokana na kupinga ufisadi kwa vitendo. Ukweli ndiyo huo. Hata CHADEMA wanamuheshimu Sitta kwa hili na rekodi yake ya uongozi haina doa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Infighting threatens to weaken CCM as CHADEMA grows stronger -- REUTERS

    Haya we... Chama chetu cha Mapinduzi (CCM) chabomoa nchi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania MAISHA BORA: IMF sees slower growth, high inflation in Tanzania

    Nyingine hiyo..... MGAO WA UMEME Uchumi wayumba * Taifa lapoteza sh. trilioni 1 kwa mwezi * Hofu yatanda maelfu ya vijana kukosa ajira * Ukali wa maisha wawaacha Watanzania hoi * Serikali yang'ang'ania mchezo wa Dowans MWANDISHI WETU Dar es Salaam MGAO wa umeme unaoendelea...
  7. K

    JamiiForums Tanzania MAISHA BORA: IMF sees slower growth, high inflation in Tanzania

    Je, haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania ambayo Rais Jakaya Kikwete alituahidi? IMF na wataalamu wengine wamesema kuwa tatizo kubwa la kuporomoka uchumi ni kutokana na ukame unaosababisha mgao wa umeme na upungufu wa chakula. Tangu ukame wa 2006 na mgao wa umeme, leo hii imepita miaka 5...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Afya ya Lowassa si issue. Jambo la msingi ni kuwa yeye ni fisadi na amechafuka sana. Hana maadili, ni mpenda mali na hafai kuwa kiongozi. Wewe unayesema kuwa Lowassa ndiye presidential candidate pekee anayefaa CCM baada ya Kikwete bila shaka unapakatwa na Lowassa. Ndani ya CCM kuna viongozi bora...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Je, una hakika na unachokisema? Hebu bofya hapa chini uone usahihi wa mambo:
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Wenzako hatukurupuki. Majibu ya maswali yako ya kizushi haya hapa:
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Tabaka la watawala Tanzania ni sawasawa na Gaddafi kwa sababu zifuatazo: 1. Wote wanaimani potofu kuwa serikali yao inapendwa sana na wananchi 2. Wote wanaamini kuwa maandamano yanachochewa na serikali/taasisi/wafadhili wa nje 3. Wote wanaamini kuwa wananchi wanapewa kitu ili kushiriki...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali sasa kununua mitambo ya DOWANS!

    Sikilizeni WADANGANYIKA wenzangu. January Makamba ni wakala wa mafisadi. Amepewa ubunge na Rostam Aziz na Edward Lowassa ili wamtoe William Shellukindo aliyetoa uamuzi kamati ya ubunge ichunguze Richmond. Pia wamemuweka kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini ili...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Sikilizeni WADANGANYIKA wenzangu. January Makamba ni wakala wa mafisadi. Amepewa ubunge na Rostam Aziz na Edward Lowassa ili wamtoe William Shellukindo aliyetoa uamuzi kamati ya ubunge ichunguze Richmond. Pia wamemuweka kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini ili kufanikisha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea waathirika

    There are currently 23 users browsing this thread. (4 members and 19 guests) Kambarage MENGI Bill JF Marketer Bwana MENGI wewe unasemaje kuhusu Lowassa, mbona uko kimya?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea waathirika

    Lowassa ni fisadi mkuu hapa Tanzania. Yeye pamoja na swahiba wake Rostam Aziz wanaivuruga sana nchi hii. Wacha CCM wamchague awe mgombea Urais wa 2015 ili kifo cha chama tawala kitimie rasmi. Mungu Ibariki Tanzania!
Back
Top Bottom