Hiv upizan wa tz upo kwaajir yanini maana hiyo kamat imeteuliwa nakupewa baraka zote na bunge sasa inakuwaje tena mnahamaki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila lakher team yetu, naamin MUNGU yupo upande wetu mpaka sasa kwn ht hapa tulipofikia tumeshawaonyesha kuwa sasa hiv tumeshawastukia janja yao kwahiyo wajiandae
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ilifika pabaya sana huyu sumaye ana mashamba kila sehemu, hebu tujiulize aliyapataje hayo mashamba km sio kudhurum wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie wa tz nani amewaroga! Mlilalamika sana madini yanaibiwa, Leo mh rais kackia kilio chenu mnalilia tena kuonewa heeeeeeey! Nani kawarogaaaaaaa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.