Madiwani wa CCM Wamkataa Meya wao

Madiwani wa CCM Wamkataa Meya wao

Huyu jamaa Bwire siyo msukuma. Mwanza tokea JPM awe Rais kumekuwa na siasa za ukabila sana.

Nadhani kuna mambo ya kikabila kayazuia hapa Mwanza.

Huyo Diwani Donatha Gapi. Siyo wa Mkolani. Ni wa Mkuyuni. Huyu ni mmoja wa wapiga majungu sana. Nadhani mmewe alikuwa askari Igogo ila kwa sasa nadhani kahamishiwa Dar yupo ktk misafara ya JPM. Hivyo ni kirehere chake tu cha kujipendekeza kwa JPM.

Kati ya mtu muovu. Na anae winda hiyo nafasi ni Diwani wa Mkolani. Aliyekuwa akimiliki chuo feki cha Nursing cha MKOLANI FOUNDATION ORGANISATION (MFO). Pale mkolani Darajani. Kawatapeli wananchi. Chuo kimegunduliwa hakina usajili tokea mwaka 2016.

Kahamishia chuo huko Bulare na kabadilisha jina la chuo. Kama mna uchungu na wananchi kwa nn msimukate huyu mwizi wa ADA za watoto wetu kwa miaka kama 10 hivi. Watoto vyeti vyao hazitambuliki popote. Na yy kawatelekeza. Angekuwa wa CHADEMA mngeisha mkamata mapemaaaaa!!

Huyu Bwire hadi sasa Afya siyo nzr saaana japo kapona. Nadhani alitibiwa Nairobi. Ilikuwa wamue kwa hewa ya sumu iliyo tiwa ofisini kwake.

Kesi ipo polisi. Nashangaa wahusika hawahukumiwi.
Wala kupelekeshwa kama wa CHADEMA!!

Kwa madiwani wote wa CCM Mwanza. Hakuna mwenye maendeleo kumfikia ukitoa yule Mhindi. Atashindwe kuongoza Jiji ili hali ni moja ya Performers wazuri nchini? CCM acheni unafiki!!

Hii kitu nitokea mchakato wa Meya awali. Sema tu ali wazidi kura.

Pia mnamuogopa kuwa atawania nafasi ya Ubunge 2020 ndani ya CCM. Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula anaweza kuwa nyuma ya huu uhuni.

JPM KAMATA WEZI
Huyu mtu wako ni mpigaji tu, hata shule yake ya Alliance imefungiwa kwa sababu za udanganyifu kuhadaa wazazi kuwa watoto wana ufaulu wa juu kumbe wanaiba mitihani!
 
CCM ukiacha ushabiki hakijawahi kuwa chama chenye ushawishi zaidi ya kutumia dola kulazimisha na kutumia hela kushawishi. Huwezi kuipenda ccm kwa mapenzi yako hata kidogo bila mtutu wa bunduki au wakutie njaa halafu wakuonyesha kitumbua. Ukiona mtu ambaye ameipenda CCM kwa hiari chunguza lazima awe ametokea hospitali moja iko pale Dodoma inahudumia hawa watu ambao kichwa.....................
 
Ongea hoja hapa. Kama huna hoja jibu hoja nilizo zitoa hapo sio kuleta hapa ufinyu wa kufikiri!!
Mkuu ww umewekeza hapa Tz hata kibanda cha kuajiri hata mtu 1?

Ni mwanafunzi ndie alikutwa na Notes! Hiyo ni kawaida tu. Watamalizana na Wizara husika. Kwani yy ni wa kwanza hapa Tz? Je za Gvt zinazofutiwa matokeo ya mitihani kila mwaka!! Mf.January Makamba walifutiwa shule nzima ni ya Bwire? Vyuo vikuu tu daily watu hufukuzwa kisa mitihani!!

TFF ina mtegemea kwa kuzalisha vipaji. Ana watoto wa TFF zaidi ya 20. Shule from Primary to Secondary. Diwani yupi wa CCM ana maendeleo halali kama Bwire hapa Mwanza?

Hao madiwani wamejenga hoja ipi? Waseme amekwamisha miradi zipi?

Nadhani ujikite ktk maendeleo. Ebu watajie watanzania tuhuma yoyote ya upigaji wa Bwire.

Namshangaa huyu JPM kila akija Mwanza hatulii kutumbua majipu. Utasikia kapita huyoooooo Chato. Kuna Majipu makubwa Mwanza kuanzia utawala wa Mkurugenzi Wilson Kabwe akisaidiana na Meya Stanslaus Mabula enzi zao: Wiwanja vya makazi-mf Luchelele, ujenzi barabara, ujenzi clinic, hela za miradi, upimaji, ujenzi holela, upanuzi wa barabara, fidia maeneo mbalimbali, miradi ya Maji, mradi wa Dampo, matengenezo ya barabara ndogo za vumbi hasa madaraja, nk.

Inshort ukichukuwa CAG Report from 2005 to 2016 Jiji lina hati chafuuuu tupu. Billions of money wamekula. Mji haujapangwa, barabara moja tu toka Kisesa hadi Buhongwa na finyu, nk.

Ukweli unawauma hasa ukiwaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off point! Shule ya Alliance imefungiwa kutokana na udanganyifu, period! Na for years wamekuwa wakidanganya...huyu Bwire ni mpigaji tu kama wapigaji wengine!
 
Kumbe huyu bwire ndie mmliki wa shule ya Alliance, watoto waliokuwa wakifanya mtihani wa form 6 walikamatwa na mitihani cha kushangaza yeye na walimu wenzake wakaiba vile vielelezo kutoka kwa misimamizi! aibu tupu! shule inaonekana ipo juu lkn watoto wakienda vyuoni ni hovyoooooooooooooooooo!
 
Inshort ukichukuwa CAG Report from 2005 to 2016 Jiji lina hati chafuuuu tupu. Billions of money wamekula. Mji haujapangwa, barabara moja tu toka Kisesa hadi Buhongwa na finyu, nk.
Off point! Shule ya Alliance imefungiwa kutokana na udanganyifu, period! Na for years wamekuwa wakidanganya...huyu Bwire ni mpigaji tu kama wapigaji wengine!
Nilidhani una hoja au ushahidi kumbe empty!!

JPM KAMATA WEZI
 
Huyu jamaa Bwire siyo msukuma. Mwanza tokea JPM awe Rais kumekuwa na siasa za ukabila sana.

Nadhani kuna mambo ya kikabila kayazuia hapa Mwanza.

Huyo Diwani Donatha Gapi. Siyo wa Mkolani. Ni wa Mkuyuni. Huyu ni mmoja wa wapiga majungu sana. Nadhani mmewe alikuwa askari Igogo ila kwa sasa nadhani kahamishiwa Dar yupo ktk misafara ya JPM. Hivyo ni kirehere chake tu cha kujipendekeza kwa JPM.

Kati ya mtu muovu. Na anae winda hiyo nafasi ni Diwani wa Mkolani. Aliyekuwa akimiliki chuo feki cha Nursing cha MKOLANI FOUNDATION ORGANISATION (MFO). Pale mkolani Darajani. Kawatapeli wananchi. Chuo kimegunduliwa hakina usajili tokea mwaka 2016.

Kahamishia chuo huko Bulare na kabadilisha jina la chuo. Kama mna uchungu na wananchi kwa nn msimukate huyu mwizi wa ADA za watoto wetu kwa miaka kama 10 hivi. Watoto vyeti vyao hazitambuliki popote. Na yy kawatelekeza. Angekuwa wa CHADEMA mngeisha mkamata mapemaaaaa!!

Huyu Bwire hadi sasa Afya siyo nzr saaana japo kapona. Nadhani alitibiwa Nairobi. Ilikuwa wamue kwa hewa ya sumu iliyo tiwa ofisini kwake.

Kesi ipo polisi. Nashangaa wahusika hawahukumiwi.
Wala kupelekeshwa kama wa CHADEMA!!

Kwa madiwani wote wa CCM Mwanza. Hakuna mwenye maendeleo kumfikia ukitoa yule Mhindi. Atashindwe kuongoza Jiji ili hali ni moja ya Performers wazuri nchini? CCM acheni unafiki!!

Hii kitu nitokea mchakato wa Meya awali. Sema tu ali wazidi kura.

Pia mnamuogopa kuwa atawania nafasi ya Ubunge 2020 ndani ya CCM. Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula anaweza kuwa nyuma ya huu uhuni.

JPM KAMATA WEZI
Mbona Kilimanjaro hakuna madiwani wa kisukuma?jibu hapa hapa!!!
 
Bwire, mbabe, mzushi, anakiburi sana.
Kwanza aseme hatima ya watoto wanaofanya mitihani ya kitaifa mwaka huu itakuwa ipi hapo Alliance Girls baada ya kufungiwa na baraza na mitihani
 
Nilidhani una hoja au ushahidi kumbe empty!!

JPM KAMATA WEZI
Ushahidi wa nini? Tangu umeanza blah blah zako kwenye huu uzi umeweka hata kipande cha ushahidi zaidi ya kutuhumu watu hovyo hovyo? Alliance imefungiwa kwa udanganyifu, kama unataka ushahidi kawaulize serikali ambao wameifungia....
 
Hiyo ni taasisi siyo makosa ya Bwire kama individual.
Mm nimekuomba uweke hapa ushaidi wa Ufisadi wa Bwire kama individual.

Tatizo CCM Mna acha wezi mna leta issue za ukabila na kutetea wezi.
Ebu sema chochote hapo nilicho andika cha uongo.

Sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa, wala sitarajii kuwa nayo. Nafahamu, na kwa taarifa yako nilikuwa na mtoto hapo na nimemhamisha. Udanganyifu wa Alliance huwezi kuutenganisha na Bwire, nafahamu vizuri sana. Wewe endelee kumtetea Bwire au kama wewe ndiye Bwire endelea kujitetea humu, ila kwamba unahusika na udanganyifu wa kitaaluma hilo sitaafiki utetezi wowote!

Mengine sihitaji kujua kama umeandika uongo au ukweli, bali sipotezi muda kutafakari kutoka kwa hayo unayotuhumu watu bila ushahidi!
 
Back
Top Bottom