Recent content by kambale71

  1. kambale71

    Naombeni ushauri wakuu maana kumtamkia tuachane siwezi ila anazidi kunipa sononeko sana

    Pole Sana aligundua unapenda Sifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. kambale71

    Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Umeisha toa mahali? Okoa maisha yako unamiliki bomu hilo Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
  3. kambale71

    Juma Duni: TANESCO inaendeshwa kwa rasilimali za Muungano ikiwa ni pamoja na kodi kutoka Zanzibar

    Hoja nyepesi sana watanzaniana mashirika yanayokatiwq mbona wanalipa kodi na zinatumika kuendesha nchi je na wao wasilipe umeme kwasbabu waalipa Kodi? Aaombe kuongezewa muda wa kulipa si kuona anahaki ya kutokulipa
  4. kambale71

    Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

    Mmmh bahati mbaya? Sasa unawajua si bahati mbaya tena toa taarifa huyo atasaidia kujua anaoyapata baada ya hapo mpaka kiwandani
  5. kambale71

    Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Nenda kasome historia ya kanisa katoliki na misinginya uanzishwaji wake usiimbe tu kuwa ni kanisa mama. Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
  6. kambale71

    Halima Mdee: Hali ya uchumi ni mbaya, maongezeko ya mapato ya TRA ni 'fake'

    We waache wapinge wasubiri tangazo la TRA Mapatonya October ndo watajua. Kukusanya Tax arrears kumekwisha sasa kodinunaipata wapi hakuna anayeuza na wanunizi wako dhoofi bin hali klhakuna posho za vikao hakuna posho za safari hakuna.hata chai ya ofisi dawa nazo hakuna
  7. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Yaa inawezekana lakini pia kwa riba mabazi mabenki inatoza na mazingira ya sasa ya kibiashara ni ngumu sana kwa wafanyabiashara kulipa vyema mikopo yao. Njia pekee ni Bot kuachia fedha kwa njia ya mikopo kwa mabenki kwa riba ndogo let say 5% na kuweka ceiling ya riba ambayo mabenki yatatoza let...
  8. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Good watu wengine wa afimiria uchumi unaendana na imani za dini la hasha. Uchumi ni mnyororo sector moja ikilegalega inaangusha na nyingine pia na impact hii itaenda hadi kwenye mapato ya serikali
  9. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Hakuna bank hapa nchini ineacha kufanya majukumu yake ya msingi kupokea deposit na kuzitunza na pili kutoa mikopo sasa hizi huduma na nyingine zenye le go la kuinarisha majukumu haya mawili makubwa ndo yanaleta hizo fees inategemea aina ya huduma. Wakati huo huo be ki inalipa riba kwa deposit na...
  10. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Wewe sasa ndo.unapotea kabisa uwezo wa atm kwa trnsaction moja hauzini noti 40 kupita kwenye dispenser ya noti sasa we unataka 500000 hizo noti zitapita mdomo upi. Kaa kimya au uliza inbox kwanza kable hujaja hiku
  11. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Na benki nyingine imeshidwa kuniendesha Totally wala watu hawangalia jinsi gani amana za wanachi zinavyopotea huko
  12. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Je mkopo unaeeza kuongezea muda (Rescheduling)m ara ngapi?
  13. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Si wakati wote mikopo mibaya inatokana na uzembe mabadiliko ya mazingira ya kibiashara ya mkopaji yanasababisha kwa kiasi kikubwa kuharibika kwa mikopo. Mikopo inatolewa kwa kuzingatia business projections katika kipindi cha mkopo kwa kuangalia past na existing performance. Inapotokea hali ya...
  14. kambale71

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    BOT ineshidwa kufanya kazi yake ya kuwa mkopeshaji wa mabenkiya kibiashara na hivyo kufanya mikopo iwe ghali zaidi kutokana na gharama za amana ambazo benki hizi zinaingia kupata amana. Pia kwa serikali kuhamisha pesa zote kwenye mabenki kumeatbiri ukopeshaji ili kuanzisha shughuli mpya za...
  15. kambale71

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Hekima inatakiwa zaidi kuishi Duniani
Back
Top Bottom