Hapo unaona ushujaa sasa kutoshiriki msiba na kutonunua kwenye bidhaa za ccm unamkomoa nani? Bakhresa Mo Mengi ni ccm sasa nambie unahubiri nn hapa au Mungu ni wachadema pekee?
Nachoshangaa mtoa post kasema engineer kasema iko kwenye majaribio ndo ianze kubeba watu nasikitika wasomi wa tz vijana kama kusoma na kuelewa ni kazi kufikiri je [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mawazo yetu vijana mtu unakaa miaka upati hata laki 5 ghafla unataka mwezi mmoja upewe milion hapo ndo tunapochemka vijana wale wa milion endeleeni kuangalia series mkisubiri serikali ipate viwanda na uchumi mkubwa zaidi
Kumbe mtoa mada ni punguani alafu analeta mambo ya Mungu kama vile mbinguni ni kwao chadema wananikera kitu kimoja wao mtu ukitaka kuwapinga utaitwa majina yote mpaka shetan lakin cha ajabu wao wanataka kupinga ya ccm jifunze kuwa wavumilivu hoja unayo toa huna kausha usipende ujinga ujinga...
Mtoa mada asante kwa kutoa watu mapovu nataka kusema upinzani mnafeli sehemu mmoja mnataka msemwe kwa mazuri wakati hayapo ila kazi yenu kuponda mema ya serikali afadhali mngeponda mabaya ila kila zuri mnakandia sasa moto wa bombardier utawanyoosha 2020
Yani siasa ya vijana mwaka huu tutajionea mengi ukitaka utukanwe matusi mazito we pinga ukawa au chagadema hapo mvua ya matusi itakumwagikia balaa kama mnadhan si profesa kuweni nyie basi
Matusi haya ni mazito kwa Chadema yote sijui kama umeandika kwa kujua au umekurupuka kibavicha maana Tanzania nzima inajua jinsi chadema walivyomshambulia mh Lowasa leo hii wamebadilika kauli ama kweli namalizia na msemo wako mtu mzima anageuka kitandani sio kauli asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.