Recent content by Kamawe

  1. K

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Mkuu ulicho kisema hapo hakuna ukweli eti <75 unit in 100/= sio kweli labda kuna watu special,service charge ni mzigo kwetu wanchi inatakiwa kupunguza.
  2. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    mkuu nimekup number nikuulize maswali, maana nipo kwene mchakato wa kulima wiki mbili zijazo.
  3. K

    Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

    Moyo umefurahi, ahsante UKAWA.
  4. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Nipm number tubadilishane mawazo mkuu.
  5. K

    Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    Mkuu naomba kujuzwa zaidi kwene maharage kuhusu 1. Mbegu inayo lipa sana sokoni 2. pato lake kwa ekra 3. msimu wa kulima , je ni masika tuu? 4. zoefu wowote ulio nao kuhusu hili zao Natanguliza shukrani.
  6. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Mkuu uko wapi ? me mwenyewe na fanya mchakato wa kulima maharage.
  7. K

    David Kafulila ndani ya kipindi cha DAKIKA 45 ITV

    Mkuu Kinjikitile mbona mambo anayo ongea yanaeleweka, hii nchi watumishi na viongozi tulio wapa dhamana ni wavivu kufanya kazi na kufikri balaa, hakuna ubunifu wala bidii ktk kazi. Hili ni tatizo wengi wanawaza wizi tu, na hii inasababishwa na viongozi ovyo na legelege tulio nao.
  8. K

    Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Kwani sisi watanzania tumerogwa na nani?, hawezi mtu kogombea nafasi kubwa kama hii kwa ombwa agombee, nafasi hii ni nenyeti CV ndefu na uadilifu pekee haitoshi; Kwa sasa tunahitaji mtu mwenye; 1. Tunahitaji mtu mwene maono juu ya hili nchi.Sio mtu anaona umasiki kwene taifa kama hili 50yea...
  9. K

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Ndio maana nasema anahiaji kubadilika.
  10. K

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Kwetu kijijini petrol ni 2500 hadi 2700.
  11. K

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Mbegu iliyokua 25000/= mwezi wa may-2015 leo June ni 340000/=. Maisha magumu kwelikweli.
  12. K

    Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

    Hongera Dr kwa maamuzi mazuri. Pia siku nyingine tuna kuomba usihudhurie midaharao inayorushwa na tv isoyokua na coverage kubwa hapa nchi mdahao unakua wa kibaguzi, sie wakulima hatuona na kusikia mdahalo ilihali tuna hamu ya kukusiki Rais wetu, tunaomba pia utangaze nia muda ukifika. Kwa...
  13. K

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Mkuu umeongelea jambo zuri sana,ambalo mimi huwa najiuliza kwanini vyama huwa haviangalii mtu mwenye maono ya kiuchumi na kijamii kulingana na rasilimari tulizo nazo? yaani tunakua na rais asiyejua kwanini watanzania ni masikini. CV ndefu na uadilifu pekee havitushi kwa tulipo sasa kama nchi na...
  14. K

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Mtaalamu nashukuru sana kwa majibu mazuri sana,nimekupata barabara kabisa. Mkuu mbegu wakati wa kusia natakiwa kutawanya random au kwene mstari na natakiwa kuhamisha baada ya muda gani kutoka kitalu kwenda shambani?. Standard size ya tuta la kitalu na shamba(lakuhamishia) ni kiasi gani...
  15. K

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Mkuu naomba kujuzwa, ni mbegu kiasi gani ya vitunguui inaweza tosha eka moja kwa mavuno ya gunia 50-70 kwa eka. Natanguliza shukrani kwa masaada wako.
Back
Top Bottom