Recent content by kamaudoulton

  1. K

    Dr. Mwakyembe ni 'mtendaji mwenye weledi'

    Bla bla za wafuasi wa Lowassa wanaochomwa na bold revelations za Dk. Mwakyembe. Hakuna kichwa wala miguu kwenye mkeka huo mrefu usio na ukweli wala mantiki. Mwakyembe kaenda Shule bana, si kama Ngoyai mwigizaji per excellence!
  2. K

    ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

    Mbona majinu yako wazi? Zitto kaondoka CHADEMA, kaondoka na lundo la wanachama wa CHADEMA na sehemu ya Wazungu ambao wamekuwa wanafadhili M4C na fujo mbalimbali za akina Tundu nchini. Mbowe na Slaa wanalijua hilo: Zitto kaondoka na baadhi ya Wazungu wanaofadhili upinzani Afrika. Umeelewa!
  3. K

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Porojo za Chadema hizo kupitia kipaza sauti chake, Tanzania Daima. Kilichomponza Gwajima ni matusi: kafanya matusi na mke wa mtu, amezaa mtoto naye, muulize Mbasha! Kammiminia matusi Kardinali Pengo anayeheshimika dunia nzima, utadhani Gwajima ni kibaka wa Kariakoo! Porojo za Slaa hazina nafasi...
  4. K

    Ukweli kuhusu mabehewa ya TRL badala ya ya kumchafua Mwakyembe

    Duh! Uongo wa Mwakyembe ni upi, ebu tumwagie hapa!
  5. K

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    Mshikaji soma vizuri hoja ya Mwakyembe! Hapa ni sheria ya manunuzi yenye vyombo vyake mahsusi vya uwajibikaji. Kama Mwakyembe angeingilia mchakato huo kama alivyofanya Lowassa kwenye Richmond basi angewajibika. Hapa ni hoja tu si hisia na kwikwi za inda na visasi.
  6. K

    Gazeti la Raia Mwema, kwanini mnamlisha Maneno Magufuli juu ya kugombea Urais?

    Jenerali na Raia Mwema wamekosa nini wakati habari hiyo imechombezwa na Magufuli mwenyewe? Magufuli alitaka KU-BEEP aone kama atashangiliwa nchi nzima. Kinyume chake ndo anakumbushwa skendo za barabara, meli ya samaki na nyumba za serikali.
  7. K

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Tatizo kubwa la Magufuli ni visasi, inda na papara. Hakuna atakayempa kura Wizara ya Ujenzi pengine Mfugale tu, mshikaji wake TANROADS. Vilevile itabidi CCM imsafishe sana kwa maamuzi ya papara ya meli ya samaki na nyumba za serikali.
  8. K

    Mwakyembe apinga katiba mpya,

    KUMWELEWA DK. MWAKYEMBE ULIHITAJI ANGALAU SHAHADA YA KWANZA YA CHUO KIKUU Sishangazwi na hoja hiyo nyepesi, dhaifu na ya kishabiki kwani isingekuwa rahisi kwa baadhi ya wachangiaji kwenye jamvi hili wenye sifa ya kusoma na kuandika tu, au sana sana wenye stashahada za masomo ya jioni kumwelewa...
  9. K

    Kauli ya JK urais 2015 yazua mtafaruku

    Ben Mkapa alipata Urais akiwa mzee wa zaidi ya miaka 60: PERFORMANCE yake ilikuwa nzuri na ya kukumbukwa na Watanzania (uchumi ulikua, mfumuko wa bei ulidhibitiwa nk) Jakaya Kikwete alipata Urais akiwa "kijana" wa miaka 49: PERFORMANCE yake inajulikana na kila Mtanzania (uchumi umedorora...
  10. K

    Wazee na madiwani Kyela kuunda tume kumuona rais juu ya ugonjwa wa Mwakyembe

    Ule uzi unaouongelea niliusoma na kuufuatilia. Haukuwa na lolote jipya wala la msingi, bali kejeli za kisiasa zilizokosa upeo stahili wa uelewa mpana wa katiba. Uzi ule ulimlaumu Mwakyembe na wenzake "kushindwa kulimalizia suala la Richmond" na kuisambaratisha Serikali. Kwa upande wangu...
  11. K

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Sidhani kama Dk. Mwakyembe anahitaji huruma yako. Hili ni suala la mapambano; ama wewe ni sehemu ya mapambano au la, PERIOD. Mambo mazito kama haya hayahitaji papara, bali calculated moves za kimapambano. Eti Mwakyembe angeweka mambo yote hadharani! Angeyaweka hadharani lini wakati hata kiini...
  12. K

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    You are right. Lakini si kwa kuropoka tu bila utaratibu. Wacha Serikali ipitie taarifa yake, iseme inachoweza kusema, ikishindwa Mwakyembe atasema. Ameahidi hivyo!
  13. K

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Duh! Mkuu! Unajilinganisha wewe na Dk. Mwakyembe? Dk. Mwakyembe ni mwalimu wangu wa sheria Mlimani miaka ya tisini. Ikiwa leo hii sisi wanafunzi wake tuna maghorofa, sembuse yeye wakili mwandamizi wa siku nyingi wa Mahakama Kuu, consultant wa corporate matters wa kuaminiwa, mhadhiri wa...
Back
Top Bottom