Recent content by kamanyani

  1. kamanyani

    Where vultures fly. Rwanda, Uganda, Angola na Zimbabwe scramble for the spoils of war

    Mataifa hayo yanaamua nani awe rahisi Congo ili aweze ku fulfill interest zao. Akienda kinyume anauwa mfano Mabutu, kabila..wanamuweka madarakani na wanaamua atawale kwa kipindi gani anapangiwa majukumu yake. Akienda kinyume au tofauti na maagizo anayopewa yanamkuta yatakayomkuta. Rais...
  2. kamanyani

    Where vultures fly. Rwanda, Uganda, Angola na Zimbabwe scramble for the spoils of war

    Madini yanachukuliwa na nchi za magharibi..chaos hii inatengenezwa na nchi za magharibi, nchi za Kiafrika ulizozitaja ni wachezaji tu kwny hii filamu ila script writer Na director wa movie hii ni mataifa ya magharibi. Uhusika wa nchi hizi ni mbinu ya kuficha kiini harisi cha Vita Na vurugu...
  3. kamanyani

    Lab-Meat to Hit U.S. Grocery Shelves by 2022, After Quiet Approval by FDA and USDA

    What will be the future of animals? I guess the NWO will pave the way for diseases like cancer and other related problem to communities.
  4. kamanyani

    Bei za vifurushi vya data zimerudishwa palepale kinyemela?

    Vilipandishwa,vikashushwa Baada ya kelele za wananchi, kama kawaida wakaona baada ya muda mfupi watakua wamesahau, vikapandishwa tena juzi Kati.
  5. kamanyani

    Bei za vifurushi vya data zimerudishwa palepale kinyemela?

    Habarini wanajamvi, Hivi karibuni nimegundua bei za vifurushi vya data zimepanda tena licha ya kupunguzwa takribani miezi 4 iliyopita baada ya wananchi kupiga kelele. Bei za vifirushi hivi zimepandishwa kinyemela baada ya kushushwa kwa kelele za wananchi. Sasa najiuliza ni ile mbinu ya...
  6. kamanyani

    Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

    Utajiri wa hawa jamaa ni wakinadharia zaidi.. Unakua translated interms of share value. Ukiangalia Kama matajiri wengi wa magharibi wanapata Tabu Sana kufanya conversation ya shares zao into hard cash wakati mwingine wanalazimika kuchukua very expensive loans to cover up expenses zao...
  7. kamanyani

    Mjue Mungu wa Freemasonry

    Very funny.
  8. kamanyani

    Hii ndio New World Order

    How do you access deep web.
  9. kamanyani

    Mashirika ya kijasusi na jinsi yanavyofanya kazi

    We Mama si ungeandika wewe Kama una mpya.. Kima wewe.. Kuleta ujuaji wakati haujui lolote ili tujue na wewe upo.. Nyau wewe
  10. kamanyani

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Waswahili bado hatujang'amua umuhimu wa kutoa taarifa rasmi za changamoto hasa kwny issue nyeti kama nishati, watu wanategemea nishati kuendesha maisha ya kila siku....*****
  11. kamanyani

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Habari wana jamvi, Siku za hivi karibuni sisi wakazi wa Dar tumeshuhudia kukatika kwa umeme sehemu tofauti tofuati kwa muda mrefu na kila siku. Kwangu uwelewa wangu na uzoefu wangu naona kama mgao wa umeme umeanza kinyemela humu jamvini tuko watu wa aina mbali na nyadhifa tofauti, ni ombi...
  12. kamanyani

    Kwanini kilo moja ya kitimoto Zanzibar ni shilingi elfu 25 hadi elfu 30?

    The higher the supply the lower the price and vice versa is true.
  13. kamanyani

    Ni kitu gani uliwahi kuibiwa kupoteza au kudhulumiwa ambacho uliumia sana na kuvunjika moyo?

    Tulikua tunakaa ghetto machizi kibao, nikawa nimeficha condom zangu sehemu, Jamaa yangu mmoja akawakazitumia baadae ya kustukia chimbo, siku moja nikaja na kazi ya ukweli night Mara sioni zana, nikahairisha pambano kwa shingo upande, na baadae ya kufeli siku hiyo demu akaninyima mzigo mpaka...
  14. kamanyani

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Siku moja night nilikua nina mihadi na demu wangu na tulikua tukihishi jirani, tulikua na mazoea kila usiku demu anachomoka kwao anakuja kulala gheto kwangu Kisha anarudi kwao alfajiri Sana kabla hakuja pambazuka na kulikua na tetesi mtaani kwamba kwao ni wachawi, Ila sikutilia maanani Sana...
Back
Top Bottom