Bei za vifurushi vya data zimerudishwa palepale kinyemela?

kamanyani

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
65
Reaction score
110
Habarini wanajamvi,

Hivi karibuni nimegundua bei za vifurushi vya data zimepanda tena licha ya kupunguzwa takribani miezi 4 iliyopita baada ya wananchi kupiga kelele.

Bei za vifirushi hivi zimepandishwa kinyemela baada ya kushushwa kwa kelele za wananchi. Sasa najiuliza ni ile mbinu ya "waache baada ya muda watajisahau tupandishe tena hawatapiga kelele"?.

Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali umeshika kasi, tozo lukuki zimeongezwa, ninajiuliza na kujipa tafakuli mwenyewe, hivi imeshidikana kukusanya kodi kwa Mabeberu au kunani kinachoendelea.. Mzigo wa maisha ya mwananchi wa chini "wanyonge" pamoja na wananchi wa kati umezidi kuwa mzito na kwakifupi siku zinavyozidi kwnd punda atakufa kabla ya kifukisha mzigo.

Niwatakie Kazi njema na nangoja maoni yenu wajuvi wa mambo.
 
Ukisikia mama ana ujamba mwingi ndiyo hivyo sasa
 
Vifirushi Vimepanda au vimeshuka
Vilipandishwa,vikashushwa Baada ya kelele za wananchi, kama kawaida wakaona baada ya muda mfupi watakua wamesahau, vikapandishwa tena juzi Kati.
 
Huwa naunga Voda gb 50 kwa 50k, jana nataka niunge tena nakuta wameshusha mpaka gb 37.
 
Vilipandishwa,vikashushwa Baada ya kelele za wananchi, kama kawaida wakaona baada ya muda mfupi watakua wamesahau, vikapandishwa tena juzi Kati.
Sijui wanatuchukuliaje..
 
Back
Top Bottom