Recent content by kamanga2016

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua hili jambo. Msibishe ni kweli kabisa asilimia 100

    Watu wanawaza namna ya kutoka kimaisha wewe unawaza uchie shame to you!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu yangu mazito na yenye hoja nzito kujibu hotuba ya Askofu Gwajima iliyotolewa Agosti 25, 2025 Usiku

    Usijitoe ufaham kwa shibe ya elf 7 ukaangamiza wenzako
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Ummy Mwalimu kukatwa "Tutapigia Upinzani Kura si CCM"

    Habari Bila video hainogi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kama njugu kwa video ya wadada wa kitanzania wanao fanya mapenzi ya jinsia moja kuna leta tafsiri gani?

    Kizazi Cha 2000 hicho kiongozi kisikuumize kichwa kinaenda kupotea kama upepo
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Muro: Gwajima umevua nafasi ya Ubunge, ushindane na Rais. Hata kama Rais wetu ni wa hovyo kiasi gani, ni lazima tumtii

    Subiri zamu Yako uwekwe katkat ya wasiojulikana ndo utajua mama n maana au siyo
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mijinga tu Toka kuongoza mpk 2:2
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Kwa nini haya makampuni ya betting hayaweki hizi mechi
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu madhindano ya u20 tz yanapatikana kampuni gani
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbeya city keshawekwa sport pesa ana 1.50 Mashujaa ana 5.00 kazi kwenu wadau
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muhindi kaogopa hajaweka kwenye betting site
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari za mihangaiko wadau, samahani game ya kesho Mbeya city na Mashujaa inapatikana kwenye kampuni gani maana naona muhindi kaogopa hajaweka
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

    Usisahau yanga wanaridhika kumuachia mchezaji Kwa zawadi ya ubwabwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nashukuru sana kiongozi Wacha nifuatilie nitarudi na mrejesho hapa jukwani Kwa manufaa ya wengine pia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Makame Mbarawa anatushinda kumng'oa?

    Shida ya ke kupewa mambo makubwa Toka mwanzo wa maandiko tulishaambiwa hawafai tumeshupaza shingo, mpk 2030 tutakuwa tumeuzwa mpk tunapolala
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada. Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi ya binafsi nilikokuwa nakatwa makato ya bodi Kwa Kila mwezi. Baada ya mkataba wangu...
Back
Top Bottom