Recent content by KAMANDAMSHELI

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mugumu serengeti nije njombe,iringa,mbeya,moro,dar....0676490332.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kha!kha!khaaaa!asanteni kwamaombi nachangamoto pia.....kama yupo asisite ndoa fasta kama tutakubaliana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Specifications; Miaka 27 nachini yahapo, awe nakazi serikalini (yoyote), mrefu na mweupe au maji yakunde mimi nafanya kazi serikali nanimwaminifu. Mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa ani pm, niko serious nataka kuoa!
  4. K

    JamiiForums Tanzania iPhone 6 used for sale

    copy hiyo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy S3 black 16GB inauzwa

    sio copy
  6. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy S3 black 16GB inauzwa

    230k nipm tufanye bizness
  7. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    100√sawa kabisa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop acer

    350k ....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tunaotafuta scholarships za masters degree nje ya Africa tukutane hapa

    Nikweli,mwenyew natafuta sana scholarship za masters za science....anayejua michakato Msaada jamani.
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mm nimwalimu wilaya ya serengeti idara yasekondari.uliye tayari kubadilishana ni pm tufanye mchakato.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini DSTV ni ghali sana?

    kwa anayejua nikweli DSTV wamepunguza gharama yavifurushi vyao hadi chachini kabisa kufikia elfu50?kwamwenyekujua Msaada Tafadhali.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unguja: Jambazi lauawa na Pingu mkononi

    sio haki!polisi hawakutenda haki,mahakama pekee ndio inauwezo kikatiba kutoa hukumu sio polisi wala raia!tuwenasubira tunaweza kuwaonea watu wasio nahatia kwavisa vyapolisi au watu wenye visasi.
Back
Top Bottom