Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge.
Maaskofu hao walikutana Alhamisi iliyopita katika hoteli ya Picolo, iliyoko Kawe jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi hapa >...
Wanajamvi,
Tumsome huyu hapa. Amefanya uchambuzi wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Anaeleza kuhusu nafasi ya wapigakura na nguvu ya vyama vikuu vinavyonyukana majukwaani kuongoza nchi na wananchi.
Hii hapa link: Uchaguzi 2020 - Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?
Serikali imeamua kula matapishi yake baada ya leo kubadili msimamo wake kumkamata Tundu Lissu atakaporejea nchini.
Katika mahakama ya Kisutu, Serikali kupitia wakili wake mwandamizi, Simon Wankyo imeieleza mahakama itupilie mbali maombi ya wadhamini wake, Robert Katula na Ibrahim Ahmed...
Kweli umesema, hivi Citizen na Mwananchi wanafanya nini kuhusu Azory? Kama wamelala namna hii. Wameacha kumsaka na kazi hiyo inafanywa na kukomaliwa na wazungu. "Tanzania nakulilia"
Kazi nyingine ya uhakika ya JF. Nawakubali sana. Mungu awaliende,
Naamini mna wahariri makini, ingawa majina yao hatuyaoni humu, wako na majina bandia.
JF ni pekee pa kujidai, hakuna maelezo wala ikulu ya kukukaba koo.
Ngoja nisubiri majina ya wengine. Aminia wanangu
Nilishtuka sana kusikia Rais Magufuli akisema kuwa anatamani siku moja mitandao ya kijamaa isiwepo Tanzania (duniani?). Alisema hivyo kwa kuwa aliamini inamzuia kufanya kazi zake za kuinyoosha nchi.
Kwa kauli yake, nilifunga na kuomba kwa siku 40 ili Mungu asisikie kilio chake. Nashukuru Mungu...
Nimetembelea 'site' mbalimbali na kuona namna maadili ya utu na hata taratibu za kuandika habari zikikiukwa, hasa kuhusu haki na thamani ya watoto wadogo.
Tangu jana habari ya kukamatwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa wazazi wa mtoto huyu zimesambaa mno katika vyombo vya habari na majukwaa ya...
Tanzania ina vitengo viiingiii ya kufuatilia masuala ya usalama. Vipo karibu kila mahali na watendaji wake siyo lazima wajulikane.
Miongoni mwa vitengo hivyo ni kile kinachoitwa Financial Intelligence Unit (FIU), ambacho nadhani kiko chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.
Pamoja na kwamba...
Kamanda anawasmea wengine, yeye ana nafuu kwa kuwa anafuga mbuzi na kuku mjini. Ila Pure Gunner, hali mbaya, Baba Jesca amekaza mno na vyuma havionekani kulainika soon.
Nafurahi kwamba Rais John Magufuli amekuwa akieleza ugumu wa kuwa kiongozi wa nchi, tena yenye watu wengi masikini wanaofikia milioni 50. Idadi hii siyo ndogo, hapa nazungumzia midomo milioni 50 inayohitaji kula, vichwa mamilioni vinavyohitaji kujazwa elimu na milii yenye idadi hiyohiyo...
Leo serikali kupitia kwa msemaji wake mkuu, mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, itatangaza kulifungia gazeti la kila wiki la Mwanahalisi.
Habari za uhakika zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa gazeti hilo liyafungwa kwa sababu zinazoelezwa na serikali - "kuendelea kuandika habari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.