Recent content by kamanda wa kamanda

  1. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania 'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    Wewe ndio haulipi mvuto wa sungu akiwa mbeya haruhusiwi kutembea kwa miguu akitembea kwa miguu yanakuwa maandamano
  2. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania 'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    Kumbuka Sugu ni mbunge ni mwanamziki ni mkulima pia ni mfanya biashara Kwaiyo wewe mfanya biashara unategemea kazi moja tuu ya kufanya biashara huwezi kujilinganisha na Sugu Harafu usiseme hakuna pesa sema sina pesa maana watu wengine wana kula raha tuu kama kawaida
  3. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania 'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    Usikurupuke kaka unapo enda kukopa bank kuna utaratibu wake na mkopaji na mkopwaji wote wana lidhiana sio kama mwizi ameenda kwenye mti wa maembe na kutingisha mti kisha kuanza kuokota Kila kitu na utaratibu wake We unajuwa sugu kakopa sh ngap?
  4. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania 'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    Kwanza Sugu ni mwanamziki Shoo yake moja anachukuliwa kwa milioni tano na kila siku anapewa ofa lakini kulingana na majukumu ya kibunge anashindwa kwenda kupiga shoo Mdomo wake ndio mtaji wake yeye kama yeye akiamua azunguke tanzania nzima kupiga shoo atakusanya sh ngap? Na unajuwa ana semi...
  5. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania 'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    Nani alie kudanganya kuwa ameshindwa kulipa?
  6. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Dkt. Magufuli kutohudhuria karamu ya Mabalozi Ikulu?

    Tatizo lake ni herufi kubwa zina mtesa
  7. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania Naona kifo kinaninukia

    Toka nae ili watu wajue atakuachia mana ataona aibu.ila *
  8. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Walokole wote wameapa kuto mchagua mtu anaeitwa Pombe
  9. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania CCM wapata wakati mgumu Kilombero

    Na bado watakiwa kama vichaa
  10. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

    kiukweli kijana huyu nyota yake inaendelea ku ng'ara sana
  11. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MKOA WA MBEYA TAARIFA KWA UMA kutokana na habari iliyo ripotiwa na gazeti la majira toleo la leo septemba 22 lenye kichwa cha habari "Ccm Mbeya yavuna vijana 79" hii ni taarifa ya uzushi haina ukweli wowote ,inalenga kuwa hadaa wananchi iliwaamini...
  12. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    Hii ndio Mbeya japo yamevurugwa.
  13. kamanda wa kamanda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    Siku zote mbeya huwa hatuzuiliki pamoja na police kutumia wanajeshi lakini tuta andamana tuu
Back
Top Bottom