CCM wapata wakati mgumu Kilombero

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,847
2,000
Katika hali isiyokuwa ya kawaida chama cha mapinduzi kimekuwa kinakosa watu katika kampeni zake kuelekea uchaguzi wa selikari za mitaa, katika mji wa Ifakara wagombea wa CCM wamekuwa wakizomewa katika mitaa mbalimbali, diwani wa ifakara mjini kupitia chadema amekuwa na wafuasi wengi baada ya kufanikiwa kufuta michango mingi isiyokuwa na tija na kupelekea watu wengi kujitokeza kwenye kampeni za UKAWA.

Katika tarafa ya Mang'ula ambapo ndio ngome kuu ya CCM hali ni tete pia baada ya jana tarehe 4/5/2014 chama cha mapinduzi kulazimika kumaliza kampeni zake mapema majira ya saa kumi jioni baada ya wagombea kujikuta wapo wenyewe huku wananchi wakisusa kwenda kuwasikiliza huku ukizuka mzozo wa wenyewe kwa wenyewe kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi, huku baadhi ya wagombea wakilalamika kwa kuhukumiwa kwa makosa ambayo hawajayafanya wao.

Mbunge wa jimbo la kilombero mh. Abdul mtegeta kupitia ccm ameitwa haraka ili kuokoa jahazi.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,177
2,000
Natamanai hali hi iwe Tanzania nzima moyo wangu ungefurahi sana. Watu wanapiga hela kiasi kile halafu tunachangishwa and yet kodi tunalipa tena hadi tukinunua PEDI za watoto tunalipa! ccm must go!
 
brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,847
2,000
Natamanai hali hi iwe Tanzania nzima moyo wangu ungefurahi sana. Watu wanapiga hela kiasi kile halafu tunachangishwa and yet kodi tunalipa tena hadi tukinunua PEDI za watoto tunalipa! ccm must go!
mkuu watu wameanza kuamka hasa vijiji ambapo uelewa bado ni tatizo
 
sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,355
2,000
Katika hali isiyokuwa ya kawaida chama cha mapinduzi kimekuwa kinakosa watu katika kampeni zake kuelekea uchaguzi wa selikari za mitaa, katika mji wa Ifakara wagombea wa CCM wamekuwa wakizomewa katika mitaa mbalimbali, diwani wa ifakara mjini kupitia chadema amekuwa na wafuasi wengi baada ya kufanikiwa kufuta michango mingi isiyokuwa na tija na kupelekea watu wengi kujitokeza kwenye kampeni za UKAWA.

Katika tarafa ya Mang'ula ambapo ndio ngome kuu ya CCM hali ni tete pia baada ya jana tarehe 4/5/2014 chama cha mapinduzi kulazimika kumaliza kampeni zake mapema majira ya saa kumi jioni baada ya wagombea kujikuta wapo wenyewe huku wananchi wakisusa kwenda kuwasikiliza huku ukizuka mzozo wa wenyewe kwa wenyewe kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi, huku baadhi ya wagombea wakilalamika kwa kuhukumiwa kwa makosa ambayo hawajayafanya wao.

Mbunge wa jimbo la kilombero mh. Abdul mtegeta kupitia ccm ameitwa haraka ili kuokoa jahazi.
Huku Jongo CCM hawana chao
 
Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,737
0

mleta mada nazan umeleta taarfa kshabiki nilikua maeneo haya toka kampen zlipoanza kiukweli bado vyama vya upnzani havijajpanga maeneo haya tusijdanganye weng wanaouzuria ni wapga debe ambao wengi hawajiandkshi na hawapgi kura na ktk mikutano ipo average ipo70% kwa ccm na 30%kwa upnzan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom