Recent content by Kamanda Moshi

  1. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Ha ha haaa umenikumbusha mbali sana … yule Kiziwi Auvimbi… kiziwi but alikiwa na mikogo balaaa! Namkumbuka Banduka pia, kina GEFAMA mzee wa chata shule nzimaaa!
  2. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    miaka yako hiyo hiyoo chief. Nadhani wewe utakuwa ulikuwa darasa na kina Peter Nemes, au kina Nuru Marambo?
  3. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Malale alikuwa Head Master na watoto wake kina Victor
  4. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Huyo huyooo
  5. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Mboya mzee wa kufyongoaaa 😁😁😁…mkuu hakukuwa na Hokororo, alikuwa anaitwa Ikoro… Temba mzee wa plumber aka mapuaaa…
  6. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    98 nilikuwepo hapo mkuu, ulikuwa unafundisha nini? Nawakumbuka walimu kina Mhina (Koba) Manjole, Daffa, “Clinton”, Saweru, Nkya (mke na mume) the famous one Mpande, Shirima, Makono, Mero, Mrs Orbelin Malisa na Isaac Malisa, kina Mkiramweni, etc etc…
  7. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Kumbe ustaadhi Ikoro bado alikuwepo… bado anafindisha MV (Motor Vehicle)?
  8. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Kifungu wanachopenda traffic cha gari bovu ni kifungu kokolo wanachopenda sana kuwabambikia watu. Sheria inayoongelea ubovu wa gari ni hii hapa chini sasa jiulize huko njiani unapoandikiwa gari bovu je hii sheria hufuatwa? Section 45 — Condition of motor vehicle Kifungu cha 45(1) kinasema kwa...
  9. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Acha masihara mkuu, mazingira ya kutaka chochote kitu yanatengenezwa na police wenyewe. Tena kwa kulazimishia. Labda nikuulize swali rahisi litakalofungua fikra zako, kutoka ubungo mataa mpaka chalinze kuna vituo vingapi vya traffic hapo barabarani? Wanakagua nini? Kutoka mwenge mpaka boko kuna...
  10. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Mkuu mfumo huu sio mbaya, tatizo ni je wasimamizi wa sheria (traffic) wana maadili? So far so good, mambo ya kubambikiwa makosa na kutafutiwa sababu utoe chochote ni mengi sana huko barabarani, kwa hivo kabla ya kuleta mfumo huu ni lazima kwanza huko barabani kusafishwe na watu waone...
  11. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Hivi wewe Ushaziona hizo sheria mpya alizosign Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani au unaongea tuuu? Shida mnafumbia macho changamoto za madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri kwasababu ya maslahi yenu binafsi. Mmewageuza madereva na wamiliki wa vyombo Vya usafiri kuwa ng’ombe wa...
  12. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Mkuu wakumbushe tu Kati ya kitimoto na Fisi nini ni cha ajabu zaidi kuliwa…. Hebu tizama hapa chini Fisi anaongelewaje kwa mujibu wa maandiko…. “Kula nyama ya fisi ni halali (inaruhusiwa) katika sheria za Kiislamu (Sharia). Hii ni kwa mujibu wa Hadithi sahihi za Mtume Muhammad (kama...
  13. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Kwa hiyo wewe kula kitimoto huwezi Ila Fisi unakula sababu fisi sio haramu kwa mujibu wa mafundisho yako? Hivi kwanza fisi anacheuaa?
  14. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Mkuu Upo sahihi. Mwanzo Nilikuwa nasaidia kadri moyo wangu uliponiambia nisaidie but later nikaja kuona it’s a trend. Unamsaidia mtu week hii after two weeks anarudi tena , then anarudi tena… sijui huwa wanawaza nini. Pia Mbaya zaidi hawaulizi au kuomba mchongo wa kazi, yeye anachojali ni...
Back
Top Bottom